Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

H
Acha kujipa utoto wewe uwe sawa na Pinda? Pinda umemzidi umri sana tu....
We si upo na 65 now rika la kina JK!!!

Laana mbaya wenzio wamejukuu we unahangaika kucheza na watoto....
Hahah....UMEUA
 
- So kujiita Dr. na picha ya bandia unasema ndio kuwa na akili? hahahahahaha mbona kama umejisema mwenyewe kuwa ni mburulazzz maana mtu mwenye akili hawezi kujiiita DR. na picha ya bandia akitumia jina la bandia, unasema una akili mkuu? kama unazo basi sizitaki tena hahahahahaha

le Mutuz
haha mfalme feki wa mitandaoni wewe ni zero brain... vichwa ni akina millard ayo, issa michuzi etc wewe ni feki acha kudanganya
 
Mie mbona sijui vizuri huyu

Huyu hapa na Mama yake wa pili wa kufikia

8fd6cfb2-0f1c-4f1e-a42e-3a1cd63df4a8.jpg
 
- So kujiita Dr. na picha ya bandia unasema ndio kuwa na akili? hahahahahaha mbona kama umejisema mwenyewe kuwa ni mburulazzz maana mtu mwenye akili hawezi kujiiita DR. na picha ya bandia akitumia jina la bandia, unasema una akili mkuu? kama unazo basi sizitaki tena hahahahahaha

le Mutuz
Kibamia
 
- Ratiba yangu ni kesho nitakuwa Mwanza kwa mualiko wa Rockcity Mall at Mwanza for Instagram Party nitarudi Jumatatu, halafu Jumatano ninaondoka tena kwenda Nairobi kwa mualiko wa Citizen TV, nikirudi naelekea South Africa kwa mualiko wa Glenfiddich Whiskey Inc., nikirudi itakuwa ni safari ya Dubai kwa mualiko wa the Official Launch of Clouds Media Cable Channel so nitakuwa busy Internationally na my Social Media works mpaka kati kati ya Mwezi May ndio nitapumzika kidogo hapa home Dar,

- Now jipime tena mkuu una fit wapi in my life, Samaki Samaki nipo nao for the last 2 years, kama ni Wabebezz hao sina tatizo nao tena wa ukweli au unataka nikupe picha hapa niliyekuwa naye jana?


- hii ilikuwa jana na Super Star Actress Mariam at Maisha Basement now tizama ana wigi huyu au wewe ndio umevaa wigi? hahahahahahahahha


- Hii ilikuwa juzi with Super Star Actress Nishe Chande, now hebu angalia tena kama maneno yako ni ukweli maana huwa sina muda na wabebezz wasi wasi hahahahahahahah

le Mutuz
Hawa wanao ndiovwamekutwanga photo kwaaaachaa
 
kawafanya nini uyu chale mbona chuki sana ao kawagegeda mazazenunadadazenu
 
Back
Top Bottom