Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Hivi le mutuz kabila gan yule maana ana mbwembwe kama mhaya!!!
By the way tumuache aishi maisha atakayo hahahaaaa eti mabebez wanamshobokea
 
Le mutuz ana mwili mkubwa akili kizibo......ha ha ha ha!
 
Ila jamani kusema ukweli imekuwa inafurahisha sana kusoma post za huyu 'kijana' le mutuz lol
 

Shangaa nawe age hiyo mtu unaishi kwa upambe n sifa 2 kwa umri wke angekua ulaya tayari kashapelekwa nyumba z wazee
 
Hakuna MTU kwenye shobo duniani hapa kama Le mutuz


Mimi akinishobokea kupiga naye picha nakataa!!

Msiniulize mimi ni nani kwani sijajuandaa na maswali
 
Hakuna MTU kwenye shobo duniani hapa kama Le mutuz


Mimi akinishobokea kupiga naye picha nakataa!!

Msiniulize mimi ni nani kwani sijajuandaa na maswali

Uknw Mimi ni mtu maarufu sana na jamii inanifatilia na kuniheshimu uknw..Jana kwenye mkutano na TCRA wamiliki wa Blog wamenichagua niwe mwenyekiti wao uknw hahahahahahaha madebe matupu hayajui Mimi ni nani hahaha I like it
 

Attachments

  • 1415788656168.jpg
    50.7 KB · Views: 499
Huyo si Sitti jamani au macho yangu....???

Hahahahahaha uknw nifah Sitti baada ya tukio la kusakamwa alinitafuta kuniomba ushauri na Mimi ndio nilimshauri avue taji..na uknw nilifanikiwa kwa kuwa ni Celebrity mkubwa ...public figure na Nina shule siyo sawa na madebe matupu...mazafantaz ....akaniomba nipige naye picha uknw..
Uknw
Nitahakikisha Mwaka huu napiga picha na warembo mililion moja ili kuvuga lengo na kufunga mwaka..hahahahaha I love it
 

Attachments

  • 1415789002998.jpg
    53.5 KB · Views: 484
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…