Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Huu ni ujinga kufanywa na babu anaekaribia kufikisha miaka 60, Tafadhali old boy waheshimu hata wanao uliowazaa they don't deserve Father of this category.

1. Matola mwanaume mzima mwenye watoto wanaokuheshimu sana unasema watakuheshimu zaidi kujua baba yao kazi yako kwenda kwenye instagram za wasiokujua na kuanza kuhamishia JF kwa kutumia jina la bandia na kuanza kuwatukana? Unasema for this watoto wako na mke wako watakuheshimu zaidi?

2. Eti kosa langu ni nini hasa in this case? Kwenda kwenye Instagram yangu kutangaza kwamba nitaweka ukweli kuhusu Diamond na Zari kama wana date au hapana, unasema nimevunja sheria ya nnchi? au unasema nilitumia bastola kuwalazimisha wananchi wengi pamoja na wewe kuja Instagram yangu kufuatilia huu umbeya?

3. Halafu umri wangu mbona unakupa taabu sana maana for sure huujui, mimi nikiwa 60 Mwenyekiti wako wa Chadema atakuwa 75, hahahahahahahaha unanichekesha sana ingawa I love this maana inaniongezea umaarufu zaidi hasa kwenye mitandao ambako ndio kuna 80% ya my investment.

- Otherwise Diamond is my close friend so is Zari and Wema too, na wote ni big Celebs kama mimi U know so lets the movie keep on going, ila umejishusha sana hadhi kwa mwanaume mzima kuingia instagram za wasiokujua na kuanza kuhamisha habari zao kwa majina ya bandia, ingawa najua kwamba unanifuata kwenye isnta yangu kwa sababu mimi ni Big Celeb

- Halafu mnanishaangaza sana mnasema mnanichukia na kwamba sifai na kwamba sina akili, jamani kila siku thread ya mtu msiyempenda inawezekana vipi yaani hii thread nimeona mahali mpaka Philemon Michael amechangia I was like no way daamn yaani nimekuwa this Big of Celebrity U know hahahahahaha and I love iit!!

Le Big Show
 

Wewe mzee wewe mzee ,basi tu.Naona wamekuongezea na cheo kingine cha mwenyekiti wa mablogger.
 
Wewe mzee wewe mzee ,basi tu.Naona wamekuongezea na cheo kingine cha mwenyekiti wa mablogger.

- The King of All Bongo Social Media Network U know, nimechaguliwa kuwa mmoja wa Viongozi Wakuu wa Tanzania Bloggers Association ikiwa na maana pamoja na JF, sasa utafanya nini utajitoa hapa au? hahahahahahahahahahahaha

Le Big Show
 
- The King of All Bongo Social Media Network U know, nimechaguliwa kuwa mmoja wa Viongozi Wakuu wa Tanzania Bloggers Association ikiwa na maana pamoja na JF, sasa utafanya nini utajitoa hapa au? hahahahahahahahahahahaha

Le Big Show

Siwezi kujitoa mbona mimi nakukubali kiaina tu,hivyo hivyo mdogo mdogo si unajua wazee kama nyie mna miakili mingi iloyotukuka.
 
Siwezi kujitoa mbona mimi nakukubali kiaina tu,hivyo hivyo mdogo mdogo si unajua wazee kama nyie mna miakili mingi iloyotukuka.

- Naona finally umekubali kwamba nina maakili mengi sana ndio maana nina Degree 3 U know, I am humbled sana jana ungekuwepo kwenye ule mkutano wa Bloggers na TCRA ndio ungenielewa vizuri, mpaka wakuu wa Serikali wana heshima na kazi zangu za mitandao U know!

Le Mutuz
 
- hahahahahahahahaha U know The King Of All Bongo Social Media Network, hakunagazzzzz U know

Le Big Show

Le Mutuz we mkali na kukubali kwenye haya mambo mengine lakini kwenye siasi za chama chenu kaa mbali kabisa u kno.
 
- The King of All Bongo Social Media Network U know, nimechaguliwa kuwa mmoja wa Viongozi Wakuu wa Tanzania Bloggers Association ikiwa na maana pamoja na JF, sasa utafanya nini utajitoa hapa au? hahahahahahahahahahahaha

Le Big Show

Jf ni blog?
 

Mkuu ningependa unielewe vyema mimi ni mmoja ya watu ninaopenda uwepo wako hapa na unaniongezea siku za kuishi.

Lakini tatizo langu kwako umekuwa mdandiaji wa kila tukio kwamc wewe unalijuwa, watoto kama kina Diamond ni wa umri wa wewe kuwazaa, pamoja unafanya biashara ya blogu lakini lazima ujiwekee limit tuwaheshimu watoto na hata mama zao hata kama tumedivorse, they deserve better than this.

Kuna Mambo akiyafanya Sinta au Mange Kimambi wala hakuna wa kushangaa lakini siyo wewe wa kufanya hayo, kumbuka hata connection unazopata leo si kwa jina la Willy bali Malecela amefanya kazi nzito kutengeneza jina ambalo wewe unaharibu hata image yake.

Wewe umekaa Marekani unafahamu kuna majina kama Ford, Rockerfella and likes yanatunzwa kizazi na kizazi, sasa kwa mwenendo wako huu watoto wako na wajukuu zako wakati wewe umeshakufa na Mzee Malecela kafa je watanufaika na jina hili? Unaacha legacy gani? Think big.
 

Ha ha ha nikikuwepo le big mutuz nilikuelewa sana mkuu,keep ze mburulaz heads ringing you know ha ha ha.
 
Haaaa!! Kumbe
 

- Maneno ya masikini kwa maskini ndio maana huwa ninapenda sana kuwa karibu na matajiri hawana lugha za umbeya na majungu kama hizi, hivi unajua Omar hajawahi kukubali kupiga picha na mtu zaidi yangu kama unabisha weka ninapokwenda sehemu kama hizo huwa siulizwi cause wafanyakazi wao wote wananijua, sio kwake tu mpaka Ikulu ninapita, hujui unachokisema huwezi kumfuata Omar nyumbani kwake kwa biashara unamufuata ofisini kwake na wewe hata ukienda ofisini kwake huwezi kumuona so tuliza boli le mburulazzz hahahahahaah U know!!

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…