francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 477
- 516
ingia jukwa la manchester United kule utaona et anaweza akawa ronardo au Messi wa baadae haaaaaaWapi wamelinganishwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wakisema hivyo wewe unaona wamelinganishwa???kwani wewe ukisema nataka kuwa au kufanikiwa kama Fulani unakuwa umejilinganisha nae au umefanana nae tayari??ingia jukwa la manchester United kule utaona et anaweza akawa ronardo au Messi wa baadae haaaaaa
izo mamboz ndo sitakag utafananishwaje na mtu wew izo ni sifa za kijinga ivi wakikwambia unafanan na umber luti utakubar?? Eti kwann usiwe Kama flani uko ni kuforce tufanane akat akupo ovaaKwa hiyo wakisema hivyo wewe unaona wamelinganishwa???kwani wewe ukisema nataka kuwa au kufanikiwa kama Fulani unakuwa umejilinganisha nae au umefanana nae tayari??
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho yako imejaa chuki.Sasa wakilinganishwa wewe kina kuuma nin?Ivi KWELI rashford na martial ndo wakumlinganisha na Messi kweli nyie jukwaa la manchester utd mungu anawaona