Upuuzi.

Upuuzi.

francis kibiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
477
Reaction score
516
Ivi KWELI rashford na martial ndo wakumlinganisha na Messi kweli nyie jukwaa la manchester utd mungu anawaona
 
Kwa hiyo wakisema hivyo wewe unaona wamelinganishwa???kwani wewe ukisema nataka kuwa au kufanikiwa kama Fulani unakuwa umejilinganisha nae au umefanana nae tayari??
Sent using Jamii Forums mobile app
izo mamboz ndo sitakag utafananishwaje na mtu wew izo ni sifa za kijinga ivi wakikwambia unafanan na umber luti utakubar?? Eti kwann usiwe Kama flani uko ni kuforce tufanane akat akupo ovaa
 
Kwani wakilinganishwa kuna tatizo gani?
 
Back
Top Bottom