britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!
Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!! Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa!!!
Extravagant , Yaan una spend bila control ya mtu wa karibu!!!!! Kuna Muda unatamani kupata wa Ku share naye matatizo Lakin inakuwa shida!!!!! Unakosa wa kupanga naye maendeleo!!!!
Unaonekana hauko sawa!!!!! Tujitahidi tutafte wenza maana ukitoweka Muda huu na jina ndo linafutika hivyo
Nijipatie biyaaa
Britanicca