UPWEKE MBAYA SANA.

Sung

Member
Joined
Mar 2, 2019
Posts
40
Reaction score
20
Upweke mbaya sana, marafiki wa kike ninao, mtaani wasichana wapo ila bado sioni kama nina watu sahihi.
MIMI:
Kijana wa kiume.
Mkristo.
Mweusi, mrefu kiasi.
Sina kazi ya kudumu wala biashara ila ninajitegemea mwenyewe maisha yanaenda.
Mpole ila nina hasira sana.

GIRL FRIEND ANAYETAKIWA:
Umri 20-25, Mkristo ambaye hana shaka hata kidogo juu ya uweza wa Mungu.
Asiwe bonge.
Asiwe muongo muongo, Sipendi uongo.
Akiwa mpenda music, au entertainments nyingine itapendeza zaidi.
Asiwe mnywa pombe wala energy drinks.
Awe mchakarikaji, hata kama hana kazi basi awe na mawazo chanya na mipango.
Awe na nguvu ya ushawishi, kujiamini, akili ya maisha.
Awe mzuri hata kimuonekano, mavazi, lugha na mengine ya staha.
Asiwe na wivu uliopitiliza.
Awe anajua kiingereza angalau cha kuombea maji, kama hajasoma kabisa basi awe na nia ya kujifunza taratibu.
Asiwe na asili ya mikoa ya Pwani.
Akiwa mkazi wa mikoa ya nyanda za juu kusini itakuwa vizuri zaidi.
Mwenye akili ya kujiongeza.
....... Mengine yatafahamika mbele ya safari.
Ukiona sifa zinakuja kuja, karibu PM.
 
ni kweli nishawah ku experience hali kama yako...ndo ukafika muda nkajua kwann Mungu alimuumba hawa,mwanaume unaweza kuwa na kila kitu lakini hali ya upweke ya kutokuwa na mpenzi/mke inaweza ikachangia kufanya vitu vya ajab san usivopenda kufanya,psychological unakuwa affected na hata mda mwingin kupoteza interest!!
Ingawa sikuona kama kulikuwa na haja ya kuorodhesha hzo sifa zooote coz no body is perfect kila kitu kina utamu wake na uchungu wake as long as we are a human being!
 
Haya kujeni huku kuna fursa imejitokeza.....
Tafadhali mkuu, kwa yeyote anayeona hii kama fursa wala asije. Maana sitoi fursa.
Na kwa anayetegemea ndoa mapewa asije, maana watu tunawaza kujipanga kimaisha kwanza na umri usogee.
 

Kabisa mkuu, hata hizo sifa nimeona ziwe chache japo si za ulazima ziwepo zote.
 
Kabisa mkuu, hata hizo sifa nimeona ziwe chache japo si za ulazima ziwepo zote.
sawa mkuu we pambana na Kumuomba Mungu utapata tu wife material ingawa ni kaz but bring it on
 
PM ikijaa nipasie mmoja, maana hali si hali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…