Sung
Member
- Mar 2, 2019
- 40
- 20
Upweke mbaya sana, marafiki wa kike ninao, mtaani wasichana wapo ila bado sioni kama nina watu sahihi.
MIMI:
Kijana wa kiume.
Mkristo.
Mweusi, mrefu kiasi.
Sina kazi ya kudumu wala biashara ila ninajitegemea mwenyewe maisha yanaenda.
Mpole ila nina hasira sana.
GIRL FRIEND ANAYETAKIWA:
Umri 20-25, Mkristo ambaye hana shaka hata kidogo juu ya uweza wa Mungu.
Asiwe bonge.
Asiwe muongo muongo, Sipendi uongo.
Akiwa mpenda music, au entertainments nyingine itapendeza zaidi.
Asiwe mnywa pombe wala energy drinks.
Awe mchakarikaji, hata kama hana kazi basi awe na mawazo chanya na mipango.
Awe na nguvu ya ushawishi, kujiamini, akili ya maisha.
Awe mzuri hata kimuonekano, mavazi, lugha na mengine ya staha.
Asiwe na wivu uliopitiliza.
Awe anajua kiingereza angalau cha kuombea maji, kama hajasoma kabisa basi awe na nia ya kujifunza taratibu.
Asiwe na asili ya mikoa ya Pwani.
Akiwa mkazi wa mikoa ya nyanda za juu kusini itakuwa vizuri zaidi.
Mwenye akili ya kujiongeza.
....... Mengine yatafahamika mbele ya safari.
Ukiona sifa zinakuja kuja, karibu PM.