Vivian Chomana
New Member
- Aug 9, 2020
- 1
- 14
Hapa ndio pagumu sasaAwe na kipato halali
HahaaaaHapa ndio pagumu sasa
Kuna demu mmoja kwenye grup moja la watsap alikuwa anasimulia jinsi alivyoanzisha uzi wake hapa jf wa kujifanya anatafuta mchumba, ila anadai lengo lake lilikuwa kuwachezea wanaume akili na kupata mtu wa kupoteza nae muda.Habari,
Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja.Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie ndoa.
Ninayemuhitaji
Awe na umri kuanzia miaka 35-45
Awe mkristo
Awe mkweli na muwazi
Awe na kipato halali
Awe na nia ya dhati siyo mbabaishaji
PM iko wazi ,mwenye uhitaji karibu.
Kila la kheri...Habari,

Hahahaha mie nshazeeka MpwaHahaaaa
Mjumbe PM iko wazi....no inaweza kuwa yes. Halafu kipato halali ni relevant. Who decides kipato halali ? Kwa mwingine hata kuuza bia si halali na kwa mwingine ni halali. Usimkoseshe Ms. Chomana mume nenda PM kwanza hahaaaa
Weka na kigezo cha UzoefuHabari,
Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie ndoa.
Ninayemuhitaji
Awe na umri kuanzia miaka 35-45
Awe mkristo
Awe mkweli na muwazi
Awe na kipato halali
Awe na nia ya dhati siyo mbabaishaji
PM iko wazi ,mwenye uhitaji karibu.
Karibu pm dadaHabari,