Upweke umenichosha sana, nahitaji Mume

Upweke umenichosha sana, nahitaji Mume

Vivian Chomana

New Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
1
Reaction score
14
Habari,

Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie ndoa.

Ninayemuhitaji

Awe na umri kuanzia miaka 35-45
Awe mkristo
Awe mkweli na muwazi
Awe na kipato halali
Awe na nia ya dhati siyo mbabaishaji

PM iko wazi ,mwenye uhitaji karibu.
 
Hapa ndio pagumu sasa
Hahaaaa
Mjumbe PM iko wazi....no inaweza kuwa yes. Halafu kipato halali ni relevant. Who decides kipato halali ? Kwa mwingine hata kuuza bia si halali na kwa mwingine ni halali. Usimkoseshe Ms. Chomana mume nenda PM kwanza hahaaaa
 
Habari,
Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja.Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie ndoa.

Ninayemuhitaji

Awe na umri kuanzia miaka 35-45
Awe mkristo
Awe mkweli na muwazi
Awe na kipato halali
Awe na nia ya dhati siyo mbabaishaji

PM iko wazi ,mwenye uhitaji karibu.
Kuna demu mmoja kwenye grup moja la watsap alikuwa anasimulia jinsi alivyoanzisha uzi wake hapa jf wa kujifanya anatafuta mchumba, ila anadai lengo lake lilikuwa kuwachezea wanaume akili na kupata mtu wa kupoteza nae muda.

Kila la kheri
 
Habari,
Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja.Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie ndoa.

Ninayemuhitaji

Awe na umri kuanzia miaka 35-45
Awe mkristo
Awe mkweli na muwazi
Awe na kipato halali
Awe na nia ya dhati siyo mbabaishaji

PM iko wazi ,mwenye uhitaji karibu.
Kila la kheri...
 
Napenda single mom ila awe na mtoto wa kike, ila umri umenitupa nje kwako
 
Hahaaaa
Mjumbe PM iko wazi....no inaweza kuwa yes. Halafu kipato halali ni relevant. Who decides kipato halali ? Kwa mwingine hata kuuza bia si halali na kwa mwingine ni halali. Usimkoseshe Ms. Chomana mume nenda PM kwanza hahaaaa
Hahahaha mie nshazeeka Mpwa
 
Habari,

Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie ndoa.

Ninayemuhitaji

Awe na umri kuanzia miaka 35-45
Awe mkristo
Awe mkweli na muwazi
Awe na kipato halali
Awe na nia ya dhati siyo mbabaishaji

PM iko wazi ,mwenye uhitaji karibu.
Weka na kigezo cha Uzoefu
Wengine tuna 30 yrs kwenye hiyo kada,
Mbona serkali inaweka uzoefu?
 
Habari,

Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie ndoa.

Ninayemuhitaji

Awe na umri kuanzia miaka 35-45
Awe mkristo
Awe mkweli na muwazi
Awe na kipato halali
Awe na nia ya dhati siyo mbabaishaji

PM iko wazi ,mwenye uhitaji karibu.
Karibu pm dada
 
Back
Top Bottom