Upweke umenichosha!

Upweke umenichosha!

Mteule halisi

Senior Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
197
Reaction score
97
Habari zenu!

Natafuta rafiki wa kike aliye huru na muda wa kutosha kua kalibu na mimi awe anaishi Dar es salaam au hata mikoa jirani.

Mimi najitegemea na bado sijaoa na nimuajiliwa kwenye kampuni flani apa Dar.

Hakuna vigezo wala masharti magumu kwa yeyote kalibu inbox!





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom