Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
mimi napoteza uvumilivu bana! nikiugua kisukari basi sabab ni wewe
ooh! No,... Mmh itabidi tutie chumvi kwenye hicho kisukari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi napoteza uvumilivu bana! nikiugua kisukari basi sabab ni wewe
ooh! No,... Mmh itabidi tutie chumvi kwenye hicho kisukari.
huko bank huyawapata???? barabarabi?, jirani? kanisani? hadi uje huku??? wacha mchezo bana, mke mwema anatoka kwa Mungu na wala hutakiwi kutoa tangazo.
Ooh! Jamani na mimi mpweke. Mmmh!Sijui nikutafute... Aaah!
Hapana, bado nipo nipo kwanza.
Kila la heri mpendwa.

Duh ingenoga mpweke kwa mpweke, mgepwekana.
Bi Husninyo unatutega namna hiyo!!