Upweke unanisumbua

HEllow

Naumwa na upweke sina friend kipindi hiki nawezaje kuondokana na upweke?
usikae na kujifungia chumbani kwako mwenyewe kwa muda mrefu, njoo au nenda kajumuike na wengine pahali wako na mtapatana huko na wapweke wengine, na hilo tatizo la upweke litakua limepona kabisa kwasababu jawabu litakua limepatikana

na usijiweke so special than special itself, haya mambo hayanaga bingwa 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…