Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kwenye harakati tulikula mzinga wa haja na wenzangu wawili waka fariki dunia.Nini shida nikuletee matunda
Mungu aliniokoa ingawa nilipoteza faham kwa masaa kadhaa, lakini matokeo ya pale nilipata fracture kwenye mguu na mfupa wa bega ulivunjika na kutoka eneo lake mnaita "clavicle"
Nilipata matibabu kwenye hospital moja ya rufaa yenye bingwa wa mifupa, kwasasa natumia "figure of 8 bandage" pia "hand sling bandage".
I'm doing good mkuu na asante kwa kujali pia...🙏