Upweke unanisumbua

Upweke unanisumbua

Usijaribu kuingia kwenye mahusiano mapya hadi ukae sawa kabisa.
---------
Wengi wanadhani upweke unaondolewa kwa kuwa na uhusiano kumbe ndiyo chanzo cha kuongeza upweke na stress.

Kwa kipindi hicho cha upweke afanye tour za kwenda kuona wanyama -safari

Kushiriki shughuli za kijamii kwa sana ,kujichanganya sana.

Narudia aachane kabisa na uhusiano kwasasa.
 
Natafuta ajira akiona replies za wanaume kwenye huu uzi atakua anashangaa sana.... Wanaume huwa wanawaona wanawaona wanawake kama lulu flani hivi, shobo flani za kiduwanzi sana.
 
Jf imekuwa ya kijinga
Huyu ni dume kafungus I'd anawachora watu tu .

Upuuzi
 
Back
Top Bottom