just a girl
New Member
- Mar 9, 2017
- 1
- 13
Ukowapimimi ni binti 25yrs
nahitaji mpenzi au mtu wa kuwa karibu nami na faraja..iam going thru hard time kiasi..na kwa magumu nnayopitia nahitaji rafiki mmoja wa pekee ataenifariji na kunishika mkono..nkiwa na huzuni atanifariji..nkiwa mpweke atanipa
kampani.nkilia atanifuta machozi.
nlijaribu mahusiano kadhaa yakaishia vibaya..
naomba uwe mwanaume uliepevuka kiakili sio mvulana
uwe na akili ya maisha sio kilaza.mkristo tu.
angalizo;
kama unajijua huna nia ya dhati usisogee pm
kama una mpenzi usisogee pm.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemuelewa eenhh ebu nifafanulieUwe mwanaume uliyepevuka sio mvulana
Uwe na akili ya maisha sio kilaza.
mimi ni binti 25yrs
nahitaji mpenzi au mtu wa kuwa karibu nami na faraja..iam going thru hard time kiasi..na kwa magumu nnayopitia nahitaji rafiki mmoja wa pekee ataenifariji na kunishika mkono..nkiwa na huzuni atanifariji..nkiwa mpweke atanipa
kampani.nkilia atanifuta machozi.
nlijaribu mahusiano kadhaa yakaishia vibaya..
naomba uwe mwanaume uliepevuka kiakili sio mvulana
uwe na akili ya maisha sio kilaza.mkristo tu.
angalizo;
kama unajijua huna nia ya dhati usisogee pm
kama una mpenzi usisogee pm.
Muombee mwenzio basi apate tulizo la mtima [emoji13]Mwenye sifa zote hizo ni Yesu peke yake.
Mkaribishe yeye utapata amani isiyo ya kawaida.
Hawa wa duniani watakuongezea street tu.
Huyu wa duniani asipopokea simu utaanza kuwaza mengine,mara hapatikani hewani bp hiyo lkin sio sheli[emoji12]mara sijui anawasiliana na x wake mawasiliano ya kawaida kimuhemuhe kimeshakupata.
In short matatizo ni mengi na mapungufu tunayo lkni mtihani unakuja pale ambapo unashindwa kuyachukulia mapungufu wa mwenzako na kuyainjoyi haya maisha.
Kila la kher ktika kufanya maamuzi
Muombee mwenzio basi apate tulizo la mtima [emoji13]
Ukwel mtupu yakheeMkuu ishu ya mapenzi hainaga ushauri jombaa.hiyo ni mpka aamue yeye kuutumia huo ushaur hapo bila ya hvyo ni sawa na kuipigia mbuzi kwaito
Wewe utakuwa Yero Subhayi!inapatikana wapi.