Upweke unanitesa, nahitaji mpenzi wa kunifariji

Upweke unanitesa, nahitaji mpenzi wa kunifariji

Doh sijui nilikuwa wapi mda wote huu... Ngoja nakuja pm
 
3e503cc1e502a297d75171a89d6ba3ee.jpg

Acha kupunguza umri mkuu sema kwel ili mungu akupe kiukweli
Watu mmekua watata kupitiliza
 
3e503cc1e502a297d75171a89d6ba3ee.jpg

Acha kupunguza umri mkuu sema kwel ili mungu akupe kiukweli
Hapo umegundua umr bado ya nyuma ya pazia,
Ujasiriamali kupitia jf na uchumba , wa zaman walinufaika ila sasa sidhani kama bado inawalipa
 
Yani upweke ulio nao haufikii hata nusu kwa huu wangu.
I wish niwe na girlfriend niwe nashinda naye, story n.k but ni ngumu.
 
mimi ni binti 25yrs
nahitaji mpenzi au mtu wa kuwa karibu nami na faraja..iam going thru hard time kiasi..na kwa magumu nnayopitia nahitaji rafiki mmoja wa pekee ataenifariji na kunishika mkono..nkiwa na huzuni atanifariji..nkiwa mpweke atanipa
kampani.nkilia atanifuta machozi.
nlijaribu mahusiano kadhaa yakaishia vibaya..
naomba uwe mwanaume uliepevuka kiakili sio mvulana
uwe na akili ya maisha sio kilaza.mkristo tu.
angalizo;
kama unajijua huna nia ya dhati usisogee pm
kama una mpenzi usisogee pm.

Nakuonea huruma kwa sababu unaweza kuwa mpweke/mwenye huzuni maisha yako yote.... Kwa sababu unategemea furaha yako 100% toka kwa MTU mwingine.... Poleeee!!!!
 
Hapo umegundua umr bado ya nyuma ya pazia,
Ujasiriamali kupitia jf na uchumba , wa zaman walinufaika ila sasa sidhani kama bado inawalipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu itafika wakati watakuja kuwapigia hodi wanaume kuwa nataka kuolewa na flani yupo?
 
kuna wavulana wapo makini sana zaidi ya unavyofikiria na kuna wanaume wa ovyo kabisa yani ni mdololo(useless) sasa angalia usipishane na uchokihitaji

kuna mtu kakuambia hapo juu naomba nimquote "furaha huwa haitafutwi huja yenyewe automatically pale tu mungu anapoamua"

kama unataka furaha stay tuned kama unataka karaha nenda ukaitafute

all the best
mvulana hapa
hivi upo unatafutwa sana na Aisha kila jukwaa anasema hakuoni
 
hakuna kitu kama hiko, kuna mtu ameweka avatar kama ile yako ya kitoroli nilijua ww umebadili jina akaniambia mm mgeni kabisa
Maana nimeona vigezo vya wanao tafuta wachumba vimekuwa vigumu kuvielewa
1. Elimu
2.ujasilia Mali
3.kazi
Hapo unajiuliza anatafuta mke/ mme au anatafuta kimoja kati ya nilivyo vitaja

Hiyo sio Mimi mi nina ID moja
 
Back
Top Bottom