Van Pauser
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 417
- 420
Ooooh...!!! Seriously
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Masponsor wapiga dili wamepungua...mianya yote ya dili imepigwa lock
Watu mmekua watata kupitiliza![]()
Acha kupunguza umri mkuu sema kwel ili mungu akupe kiukweli
Hapo umegundua umr bado ya nyuma ya pazia,![]()
Acha kupunguza umri mkuu sema kwel ili mungu akupe kiukweli
mimi ni binti 25yrs
nahitaji mpenzi au mtu wa kuwa karibu nami na faraja..iam going thru hard time kiasi..na kwa magumu nnayopitia nahitaji rafiki mmoja wa pekee ataenifariji na kunishika mkono..nkiwa na huzuni atanifariji..nkiwa mpweke atanipa
kampani.nkilia atanifuta machozi.
nlijaribu mahusiano kadhaa yakaishia vibaya..
naomba uwe mwanaume uliepevuka kiakili sio mvulana
uwe na akili ya maisha sio kilaza.mkristo tu.
angalizo;
kama unajijua huna nia ya dhati usisogee pm
kama una mpenzi usisogee pm.
Hahahahahahahahhahamleta thread kakimbia yuko bize PM anawajibu maflaikecha.
ukimaliza kujibu huko uje ujibu na huku.
0719608563Nipo mamy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu itafika wakati watakuja kuwapigia hodi wanaume kuwa nataka kuolewa na flani yupo?Hapo umegundua umr bado ya nyuma ya pazia,
Ujasiriamali kupitia jf na uchumba , wa zaman walinufaika ila sasa sidhani kama bado inawalipa
hivi upo unatafutwa sana na Aisha kila jukwaa anasema hakuonikuna wavulana wapo makini sana zaidi ya unavyofikiria na kuna wanaume wa ovyo kabisa yani ni mdololo(useless) sasa angalia usipishane na uchokihitaji
kuna mtu kakuambia hapo juu naomba nimquote "furaha huwa haitafutwi huja yenyewe automatically pale tu mungu anapoamua"
kama unataka furaha stay tuned kama unataka karaha nenda ukaitafute
all the best
mvulana hapa
hahahh ujasiriamaliHapo umegundua umr bado ya nyuma ya pazia,
Ujasiriamali kupitia jf na uchumba , wa zaman walinufaika ila sasa sidhani kama bado inawalipa
Nimeongopa my dearest!hahahh ujasiriamali
Hivi ukiwa mjasiliamali ndo unakuwa Mme borahahahh ujasiriamali
hakuna kitu kama hiko, kuna mtu ameweka avatar kama ile yako ya kitoroli nilijua ww umebadili jina akaniambia mm mgeni kabisaHivi ukiwa mjasiliamali ndo unakuwa Mme bora
Maana nimeona vigezo vya wanao tafuta wachumba vimekuwa vigumu kuvielewahakuna kitu kama hiko, kuna mtu ameweka avatar kama ile yako ya kitoroli nilijua ww umebadili jina akaniambia mm mgeni kabisa
vigezo hivyo atakua anatafuta zaidi ya mumeMaana nimeona vigezo vya wanao tafuta wachumba vimekuwa vigumu kuvielewa
1. Elimu
2.ujasilia Mali
3.kazi
Hapo unajiuliza anatafuta mke/ mme au anatafuta kimoja kati ya nilivyo vitaja
Hiyo sio Mimi mi nina ID moja