Upweke unanitesa, nahitaji mpenzi wa kunifariji

Nipo mama nami nimechoka upweke
 
Yaan unatafuta mwenza halafu umeshatangaza matatizo nani anashida ya kubeba msalaba wa mtu saa hiz..!
 
Sometimes Yesu mnamsinginzia!
 
Sometimes Yesu mnamsinginzia!
Halafu hawamjui, mwenyewe kawaambia kwamba, wasisumbukie ya ulimwengu huu, watafute kwanza ufalme wa Mungu na mengineyo, yote watapewa kwa "ZIADA".

Leo wao wanatamani wamuone sijui awakanushie hayo, daily wanambebesha hayo aliyowataka wasiyahangaikie, wala yale walioambiwa wayasumbukie hawana shida nayo. Huu Ukristu ni shida kweli, matangazo ya makanisa na wachungaji hayana tofauti kimaudhui na matangazo ya waganga wa kienyeji 'wale wachawi' wote wanahubiri injili yao mpya, "tafuteni kwanza ya ulimwengu huu, 'mbinguni hata uwepo wake ni wamashaka' " vichunguzeni vibao vya matangazo yao.
 
Well said mkuu!
 
Subirini magu atunyooshe kwanza.
 
Awe mkristo tuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji15] wengine hutaki acha zako wakati bado binti mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…