Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hadi leoSijawahi kuchagua ila ninaowapata inakuwa sio ridhiki yangu nadhani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi leoSijawahi kuchagua ila ninaowapata inakuwa sio ridhiki yangu nadhani
Sent using Jamii Forums mobile app
Me pia nko natafuta m2 alie mpweke Kama ww may be later we will be togetherNimechoka kuwa mpweke Mimi, nimechoka kugalagala peke yangu jamani.
Mimi ni mdada umri miaka 28, kabila Mngoni, mweusi kimo cha wastani.
Natafuta mkaka anayejielewa sina ubaguzi wa dini kabila lolote akiwa Msukuma, Muhaya na Mnyamwezi nitafurahi zaidi.
Awe anajishughulisha kwa chochote, sitaki wanafunzi wa chuo ni wasumbufu aisee. Nahitaji mahusiano ya kudumu aliye serious ani PM.
Ninaishi Mbezi Msakuzi nyumba yangu kubwa nahitaji mwanaume wa kuunguruma jamani.
NB: Muonekano wowote, kilema si ugonjwa
Hoping ulipata?