GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
Peace JF Masssive š¤š¾
Kipindi hiki cha covid 19 watu wengi sana wamekuwa wakitatufa njia zakuingiza side income angali wakiwa home. Na niseme tu baada ya kuandika uzi huu
Watu wangi wamechangamkia fursa kufanya kazi kama freelancers lakini ni wachache tu ndiyo wanafanikiwa kwenye platform ya UpWork.
Sasa hili jambo linaleta hasira sometimes. Unaweza dhani Upwork wanakufanyia hujuma [emoji2].
Kwa kawaida UpWork wapo na standards za juu sana. Wanataka top freelancers ili walinde hadhi yao. Kumbuka UpWork client ni kama mfalme. UpWork wanawatoza pesa nyingi kwahiyo client nayo wanategemea kupata Freelancers wenye ujizi usio wakubabaisha.
Hapo ndipo tatizo linapoanzia.
Sababu ya kwanza kwanini unakosa kazi kama beginner.
1 ⢠Iwapo utafanikiwa kutuma maombi na kukubaliwa, basi kwasababu wewe ni beginner profile yako haitokuwa inaonyeshwa kama inavyotakiwa kwa clients wanaotafuta freelancers wenye Skills kama zako. Hii inaathiri hadi unapotuma maombi. Kwenye rank unakuwa wamwisho. Sasa hadi client aje kusoma proposal yako amekuwa mvumilivu sana kupitia proposal zote. Most clients never go through all the proposals. This is the reason you never get to hear from them. Unaandika proposal lakini hata kujulishwa umekosea kazi hujulishi ā¹
Upwork wanafanya hivi kwasababu wanafahamu beginners wengi hawapo serious na pia ni ngumu kufahamu kama kweli wanaujuzi wanaosema wanao.
2 ⢠UpWork is very competitive
Mazee, Upwork ni noma sana. Freelancers wengi wakubwa wanafahamu UpWork kuna pesa kwahiyo ukiwa una apply gig fahamu una apply na experienced freelancers wengi ulio lingana nao ujuzi au wamekupita kwa mbali.
Inabidi ujipange.
Pia uwe mjanja kuapply kazi zile tu ulizo na competitive advantage.
3 ⢠Skills ulizonazo Freelancers wengi wanazo lakini pia hufahamu jinsi yaku āstandoutā katika kundi.
Hii inaendana kiaina na point ya competition.
Kuitazama kwa namna nyingine Hii point ni hivi. Inawezekana Skills ulizonazo zina demand (mfano virtual assistant ni skill yenye demand all the time na kila mtu anaweza kuwa VA) Sasa hapa kinachotokea ni kwamba beginner hawafahamu mbinu yakujitofautisha ili client akiwa anatafuta Virtual Assistant awaache wengine akuchague wewe. Umeshajiuliza kwanini experience freelancers inakuwa rahisi kupata gigs? We understand something beginners donāt. Maneno gani yakutumia wakati wakuandika proposal etc.
4 ⢠You are too lazy, even to respond to client's messages.
Unajua nini?
Baadhi ya freelancers wanakosa kazi kwa sababu rahisi tu wao ni wachelewaji wa kila kitu.
Inabidi uwe haraka kama train ya umeme.
Kwa mfani jioni hii client amejibu proposal niliyotuma sasa akanitaka nijubu maswali machache kuhusu kazi husika na niseme tu kwangu haichuki muda.
Hii kazi pengine na mimi nitampatia mtu mwingine anisaidie. Ni kazi nzuri and the money is not bad.
This is $14 per Hour, 4 - 8 hours a day for 5 days.
Unaona kazi ina demand time kimtindo. Na mimi binafsi napenda creative work itakayonipatia muda mwingi wakuwa free. Lakini kwa sababu ya [emoji383] hizi kazi tuna-apply kwasababu the money is good Pia ni long time project.
Alright, naomba niishie hapa. Maneno yameisha š¤©
Cheers š„