Urafiki wa CHADEMA na Rais Samia; Je, anajua vita hii kwa Wahafidhina ndani ya CCM?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Salaam,

Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu.

Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
 
Hakuna jambo linatokea tu. Mahesabu ya mchezo huu yalikamilika kitambo sana hivyo linalotokea linatokea kwa makusudi
 
Hakuna mfahidhina wala mkereketwa mwenye uwezo wa kupimana ubavu na Mwenyekiti wa Chama ,usidanganye watu.

Mwenyekiti ana kura ya turufu ambayo hujulikana kama kura ya maamuzi hivyo hakuna maamuzi yoyote yanayokosa baraka za Mwenyekiti.
Mwenyekiti anafanya maamuzi ya chama kama vile maamuzi ya familia yake??
 
Salaam,

Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu.

Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
Baada ya Mwenyekiti wenu kuweka watu wake kila hatua ya maamuzi ndani ya chama nyie wafidhina kura za kumn'goa mtapigia wapi,kwa Mpina au Kitwanga labda?
 
Wakati utasema hilo ni angalizo
 
Salaam,

Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu.

Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
CCM ni ya Samia, Kinana, na Kikwete, wewe utaongea nini?au hujui kama watu wazuri huwa hawafi?
 
Uzuri wa viongozi wa CCM hata afanye nini hawezi kuacha maslahi ya chama pembeni. Magufuli pamoja na kunyoosha kila kona ila aliakikisha anaifanya CCM inakuwa na nguvu na upinzani ulegee. Samia furaha yake ni kuendelea kuifanya CCM kukamata dola na upinzani usiwe tishio kwa chama chake.
 
Samia an operate kisayansi zaidi na hakuna mhafidhina wala msukuma anayeweza kukohoa chochote.

Pia kuna meseji anawatumia wale ccm rangi mbilimbili wale masalia ya mwendazake kuwa waka kwa kutulia maana watakuwa substituted na so called maridhiano hapa akina Mpina, gwajima, Dada mkubwa wa Mbeya japo anahitajika sana bungeni, Gambo kidomo kirefu, sijui Tabasamu makelele bungeni. Wakae kwa kutulia.

Hizi moves za kuwasogeza maadui zako karibu ni za mastermind himself one and only Kanali mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Salaam,

Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu.

Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
Wahafidhina ndiyo Sukuma gang?
Chama tawala kimerudi kwa rightfully owners, wale Wahutu walileta ujuaji wakaelimishwa kwamba jogoo la shamba haliwiki mjini.
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
 
Salaam,

Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu.

Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
2025 mama anapokelewa CDM. Mbowe fundi.
 
Samia an operate kisayansi zaidi na hakuna mhafidhina wala msukuma anayeweza kukohoa chochote.

Pia kuna meseji anawatumia wale ccm rangi mbilimbili wale masalia ya mwendazake kuwa waka kwa kutulia maana watakuwa substituted na so called maridhiano hapa akina Mpina, gwajima, Dada mkubwa wa Mbeya japo anahitajika sana bungeni, Gambo kidomo kirefu, sijui Tabasamu makelele bungeni. Wakae kwa kutulia.

Hizi moves za kuwasogeza maadui zako karibu ni za mastermind himself one and only Kanali mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.
ungejizuia kusema baadhi ya vitu nchi sio kakikundi, wala familia, siku zote tafakari vema sana, kama alivyokufa Magufuli na wengine foleni ipo na kusudio lao hawatashuhudia.

Ni ndoto za Alinanacha na za mchana 🤣🤣🤣🤣 wenye nchi mnajeuri na Amana ya uhai hongera sana wenye nchi.
 
Back
Top Bottom