Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mwenyekiti anafanya maamuzi ya chama kama vile maamuzi ya familia yake??Hakuna mfahidhina wala mkereketwa mwenye uwezo wa kupimana ubavu na Mwenyekiti wa Chama ,usidanganye watu.
Mwenyekiti ana kura ya turufu ambayo hujulikana kama kura ya maamuzi hivyo hakuna maamuzi yoyote yanayokosa baraka za Mwenyekiti.
Baada ya Mwenyekiti wenu kuweka watu wake kila hatua ya maamuzi ndani ya chama nyie wafidhina kura za kumn'goa mtapigia wapi,kwa Mpina au Kitwanga labda?Salaam,
Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu.
Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
Nimesema ukweli kazi kwakeKwahio unamtisha mheshimiwa?
Yaani unamwambia wahafidhina Wana nguvu kuliko YEYE?
Wakati utasema hilo ni angalizoBaada ya Mwenyekiti wenu kuweka watu wake kila hatua ya maamuzi ndani ya chama nyie wafidhina kura za kumn'goa mtapigia wapi,kwa Mpina au Kitwanga labda?
CCM ni ya Samia, Kinana, na Kikwete, wewe utaongea nini?au hujui kama watu wazuri huwa hawafi?Salaam,
Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu.
Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
Wahafidhina ndiyo Sukuma gang?Salaam,
Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu.
Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
2025 mama anapokelewa CDM. Mbowe fundi.Salaam,
Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu.
Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
ungejizuia kusema baadhi ya vitu nchi sio kakikundi, wala familia, siku zote tafakari vema sana, kama alivyokufa Magufuli na wengine foleni ipo na kusudio lao hawatashuhudia.Samia an operate kisayansi zaidi na hakuna mhafidhina wala msukuma anayeweza kukohoa chochote.
Pia kuna meseji anawatumia wale ccm rangi mbilimbili wale masalia ya mwendazake kuwa waka kwa kutulia maana watakuwa substituted na so called maridhiano hapa akina Mpina, gwajima, Dada mkubwa wa Mbeya japo anahitajika sana bungeni, Gambo kidomo kirefu, sijui Tabasamu makelele bungeni. Wakae kwa kutulia.
Hizi moves za kuwasogeza maadui zako karibu ni za mastermind himself one and only Kanali mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.