hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
trueWema wa kila mtu ww acha ushamba, kila mtu anakula utakavyo tokea kitambo ni pochi yako tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
trueWema wa kila mtu ww acha ushamba, kila mtu anakula utakavyo tokea kitambo ni pochi yako tu
kwa maisha ya kibongo bongo " Bob kwao " ni wakishua "" Wanaishi maisha mazuri ya level ya kati"" hata sanaa ya kuproduce " amesomea india" ukipita kwao " mjengo wao unajieleza "" vyema tuhahaha.. unajua kila mtu ana viwango vyake iliakuone wakishua. Wengine wakiona mtu ana gari mbili na nyumba basi wakishua.
Bob jr hana lolote maisha magumu2.familia yao yakawaida sana! Mie nimefanya haso za mziki nikiwa nao wale,Bob Jr, mr blue,hakim 5,quen Darin,na eby skiz. Maskani yetu ilikuwa mtaa wa lindi na nyamwezi,karibu na kwa mdau mkubwa sana wa music "Gulu"(baba yake mdogo na bob jr na ndiye mmiliki wa G recods )ambaye ndie alikuwa anatupiga tafu.ilikuwa kila jioni huyo Bob Jr hakim5 na ebby skiz wanamenya viazi kwa mchechu.bob Jr kaokota sana siso na mnunuzi wetu mkubwa alikuwa sapinto.Gulu ndio brother aliyewatoa wote hao kwenye msoto.mie nilifeli kwavile ni mkristo.Bob jr "" ananafuu mnooo ya maisha "" family yao inajiweza "",acha kutka kuleta uwongo hapa" namjua " vizuri pia
yeahHiyo picha ya pili mbona imeeditiwa,huyo ni NEYO na alikiba wala sio diamond!wamefanya editing ya kichwa tuu.
Aiseee,, kumbe hata hawa kubana pua wameokota siso nldhani ni wale wa hiphopBob jr hana lolote maisha magumu2.familia yao yakawaida sana! Mie nimefanya haso za mziki nikiwa nao wale,Bob Jr, mr blue,hakim 5,quen Darin,na eby skiz. Maskani yetu ilikuwa mtaa wa lindi na nyamwezi,karibu na kwa mdau mkubwa sana wa music "Gulu"ambaye ndie alikuwa anatupiga tafu.ilikuwa kila jioni huyo Bob Jr hakim5 na ebby skiz wanamenya viazi kwa mchechu.bob Jr kaokota sana siso na mnunuzi wetu mkubwa alikuwa sapinto.Gulu ndio brother aliyewatoa wote hao kwenye msoto.mie nilifeli kwavile ni mkristo.
Rudi tena nitarudi tena kukwambia nani alimtumia kinanda spka nakumlipia kodi ya chumba cha studio Bob jr.
yeah
[emoji1]Mtalaam
Wote hao wameangaika,kipindi hicho tunatafuta pesa yakurekodi kwa miika mwamba elfu 40.Aiseee,, kumbe hata hawa kubana pua wameokota siso nldhani ni wale wa hiphop
Mjengo wakina Bob Jr uko wapi? Acha fix uongo na ujinga wako,Baba yake analelewa Finland,kaoa mzee na anafanya muziki hukohuko,mama yake alyemnunulia nyumba Bob magomeni ni muuza poda.vifaa vya mziki cha G love,na Bob Jr vyote katuma huyo bibi wa Finlandkwa maisha ya kibongo bongo " Bob kwao " ni wakishua "" Wanaishi maisha mazuri ya level ya kati"" hata sanaa ya kuproduce " amesomea india" ukipita kwao " mjengo wao unajieleza "" vyema tu
huwezi ''kumjibu " mtu kwa "kutumia hekima ''bila uwepo ""wa maneno ya kashifa """?Mjengo wakina Bob Jr uko wapi? Acha fix uongo na ujinga wako,Baba yake analelewa Finland,kaoa mzee na anafanya muziki hukohuko,mama yake alyemnunulia nyumba Bob magomeni ni muuza poda.vifaa vya mziki cha G love,na Bob Jr vyote katuma huyo bibi wa Finland
Ulianza kashfa kwakuniita MUONGO. Umesahau mkuu?huwezi ''kumjibu " mtu kwa "kutumia hekima ''bila uwepo ""wa maneno ya kashifa """?
sasa uongo " nikashifa au sifa "mbaya",inayomuhusu ",mtu anayeongea ", uzushi"" !!!?Ulianza kashfa kwakuniita MUONGO. Umesahau mkuu?
Huyo bobu junior kwao si ndio pale magomeni ilipo studio? Halafu ningependa kujuzwa siso ndio nini?sasa uongo " nikashifa au sifa "mbaya",inayomuhusu ",mtu anayeongea ", uzushi"" !!!?
Siso maana yake chuma chakavu (scraper)Huyo bobu junior kwao si ndio pale magomeni ilipo studio? Halafu ningependa kujuzwa siso ndio nini?
HUYU SIO MDOGO WAKE DEO KISANDUBob jr hana lolote maisha magumu2.familia yao yakawaida sana! Mie nimefanya haso za mziki nikiwa nao wale,Bob Jr, mr blue,hakim 5,quen Darin,na eby skiz. Maskani yetu ilikuwa mtaa wa lindi na nyamwezi,karibu na kwa mdau mkubwa sana wa music "Gulu"(baba yake mdogo na bob jr na ndiye mmiliki wa G recods )ambaye ndie alikuwa anatupiga tafu.ilikuwa kila jioni huyo Bob Jr hakim5 na ebby skiz wanamenya viazi kwa mchechu.bob Jr kaokota sana siso na mnunuzi wetu mkubwa alikuwa sapinto.Gulu ndio brother aliyewatoa wote hao kwenye msoto.mie nilifeli kwavile ni mkristo.
Rudi tena nitarudi tena kukwambia nani alimtumia kinanda spka nakumlipia kodi ya chumba cha studio Bob jr.
Hahahaaa hapana mkuu mie mdogo wake na AKA 47HUYU SIO MDOGO WAKE DEO KISANDU