Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Urafiki wa MASABURI…
Leo nimeamini kuwa hakuna marafiki kama masaburi… yalizaliwa pamoja; yanaishi pamoja; yanakaa pamoja; yanachapwa pamoja; yanatembea pamoja; yanavaa chupi pamoja na hata kufa na kuzikwa pamoja.
Je, unae rafiki wa hivyo, uringe??!
Usomapo ujumbe huu, tafadhali jamba kwa sauti ya mdomo au masaburi yenyewe ili uyafurahishe masaburi yako!
Unacheka nini sasa??:love::love::third:
wewe je ulijamba wakati unaandika post hii.
Asante sana kunitabiria mema.... 2015 si mbali tuombe uzima tu mkuuUnafikiri sana wewe unafaa kuwa waziri wa afya!