Urafiki wa mashaka

Urafiki wa mashaka

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805
Kwa wale tuliopitia na tunapitia urafiki undugu wa mashaka au wasisi njooni tupeane uzofu
Mimi ni mmoja ktk watu ninae pitia majanga yote mabaya kwa watu wangu wa karibu mfano kuna kipindi nilipata mchongo wa kwenda simamia mgodi wa dhahabu nikiwa kazini kuna jamaa zangu wawili wakataka waje kwakua kitaa pagumu..Nikawakubalia walivyofika nikawapangingia zile kazi nyepesi ktk ma karasha tukapiga kazi vizuri wakaja kula njama nabwenyeji wakule.siku tunakamatisha jamaa wakaiba omega dumu moja kilichofuata ni vumbi.
2Hii ndio ilikua komesha nilituma ushenga jamaa angu kumbe mkebalikua demu wake Urafiki wa mashaka mpaka sasa siamni ata kivuri changu leta chako ila me nitaendelea baadae mikasa mingi
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    10.3 KB · Views: 6
  • download (1).jpg
    download (1).jpg
    9.4 KB · Views: 7
  • download (2).jpg
    download (2).jpg
    9.9 KB · Views: 7
Back
Top Bottom