Urafiki wa Oscar Kambona na Mwalimu Nyerere ulianzia hapa

Duuh, tulikuwa tunamuimba vibaya zamani kumbe!
Katika vitu Nyerere alikosea ni kupishana na huyu mwamba ... Historia ya Tanganyika/Tanzania inamuimba Nyerere kila upande ... Alifanya kitu cha kipuuzi mnoooo .Mpaka wa leo tunahangaika na liccm kwa ujinga wa Nyerere.
 
Ujamaaaa umetufikisha wapi!!?? Azimio la Arusha limetupeleka wapi!!??
 
Kwani Nyerere alisomea wapi !!?? Hakusoma nje??!!
 
Kwani Nyerere alisomea wapi !!?? Hakusoma nje??!!
Nyerere amesoma nje lakini pia nyerere vitu vingi vilichangia asimame kwenye socialism..
Kwanza ziara yake kwenda nchi za kijamaa kipindi kile kama china, ilichangia kubadilisha ufahamu wake kwa kiwango kikubwa na kujitambua,
Pili,experience yake kabla nchi haijapata Uhuru kwani alikuwa mwalimu na huko alishuhudia namna ukoloni unavyowatesa waafrika na kuwanyonya(exploitation) hivyo tayari alikuwa ameshasimama upande wake kabla hata ya kwenda nje kusoma tena
 
Winners write history.

Kwa sababu mshindi alikuwa Nyerere, historia inaandikwa kwa kadri alivyopenda iandikwe.

Nakumbuka wimbo wa mchakamchaka tukiwa primary:

Kambona alitoroka Tanzania kuogopa Azimio la Arusha.

Kambona, ameelewa, wapi? Huko Ulaya!!!
 
Hizo nyumba mwisho wake ulikuwaje?

Maana kuna baadhi nazifahamu zipo Morogoro na kwa sasa zinamilikiwa na watu binafsi, utaratibu gani ulitumika hapo?

Au ilikuwa ni propaganda za kumchafua tu?
Huyu jamaa alijichimbia kaburi lake mwenyewe na kujichongea jeneza lake mwenyewe.

Kwa kipindi kile mali ilikuwa inarudishwa serikalini/ kutaifishwa
 
Shirikiana na Dada JOYCE NDALICHAKO. KWENYE
HISTORIA YA TANZANIA WAWEKE NA HILI
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mbona China wapo vizuri??
Ukisoma list ya makampuni makubwa ya China kisha usome yanamilikiwa na nani utaona watu binafsi. Na mbona kuna list ya wafanyabishara matajiri nchini humo. Hizi bidhaa zote za China unazotumia unaweza kuta hujawahi tumia yoyote inayotoka kwenye government enterprise bali zote ni private.
 
Km ni hivyo basi China ni capitalist na sio socialist, kwasababu kadiri nilivyokuwa nafahamu mimi ni kuwa China kwa kuwa ni socialist basi kila kitu kipo owned na Serikali au vyama vya ushirika.
 
... I am so curious about that name Mzena! Alikuwa nani huyu mtu? Maana ndio kama hivyo kaandika historia.
 
... tofauti na alivyokuja kuchafuliwa; inaonekana Kambona alikuwa smart kuliko Nyerere. Kwa historia hiyo fupi alikuwa kichwa sana hali iliyopelekea Nyerere na wahafidhina ndani ya chama kuhofia ushawishi wake tena wa kisomi.

Hii ilipelekea kutungiwa kila aina ya jina baya na propaganda kali na chafu sana dhidi yake. In short, kwenye hili utawala wa Nyerere hautofautiani na uliopita hivi karibuni sema kipindi kile uelewa wa wananchi ulikuwa duni sana!
 
Kambona hakuwa amempita Nyerere kielimu, bali yeye ndio alikuwa amepitwa. Kiushawishi pia alikuwa chini ya Mwl pia. Kilicho mgharimu Kambona ni tamaa
 

Kwahiyo vyama vingi vinaleta mtawanyiko wa taifa? Akili za ki CCM ni aibu tupu
 

Jiwe ni Copy ya Nyerere, Ila Nyerere alitawala kipindi ambacho wajinga walikua ni wengi mno nchini.
 
Kwahiyo vyama vingi vinaleta mtawanyiko wa taifa? Akili za ki CCM ni aibu tupu
hapana, ila uimara wa utekelezaji sera za chama kwa kipindi kile usinekuwa wenye afya kabisa kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…