Kiboko wapii?Warumi bana hebu shuulikia habari ya jana lulu kuchambana na nevaeva14 page ya Lulu uko IG tupate umbea mana jana walitoleana siri balaa!! Ila Lulu anachamba yule mtoto duuh kweli shikana kiboko
Shikamooo.. samahani hiv huu umbea mnasomeaga wapi aiseeeeKiboko wapii?
Kakosa staha na hulka ya kike.Kidomo juu juu kuchambana na fansii mpaka tumejua kuwa kalitaka kujiua
Vipi hivi ile kesi yake ya The Great imekwisha?
Mahakama za tz buana.Oscar pretorious ashajua hatma yake, Haka ka Andunje kamehakikishiwa hakatopigwa hata mvua moja ingawa kesi za mauaji bila kukusudia upo uwezokano wa kupigwa mvua japo 2
Cc: @ Ruttashobolwa
Ni utembezi wako tu huko IG hata akina shigongo wanatoa habari huko.Shikamooo.. samahani hiv huu umbea mnasomeaga wapi aiseeee
Niliona ,mimi nilimchamba kidogo tu akaniblock ***** ,angeniacha ningemvua nguo hadharan na ushirikina wake,mtoto mdogo mchawi,magonjwa yote anayo yeyeWarumi bana hebu shuulikia habari ya jana lulu kuchambana na nevaeva14 page ya Lulu uko IG tupate umbea mana jana walitoleana siri balaa!! Ila Lulu anachamba yule mtoto duuh kweli shikana kiboko
Yule nevaeva nae sio...alimpa za uso nakwambia shikana wacha apaniki ila wale kuna lililojificha sio bure loh!!! Mtoto kina kirefu ka lake Tanganyika chaaaaNiliona ,mimi nilimchamba kidogo tu akaniblock ***** ,angeniacha ningemvua nguo hadharan na ushirikina wake,mtoto mdogo mchawi,magonjwa yote anayo yeye
Kwahiyo Kajala ajiandae kumchukia mtu anayemchukia wema au hafurahi na mtu anayemfurahia Wema si kinyume na hapo.Ule urafiki wa mastaa wa bongo movie ,wema sepetu pamoja na kajala masanja unadaiwa kurudi kwa kasi huku wenyewe wakifanya siri hili wambea wasianze choko choko za kuwagombanisha, habari chini ya kapeti zinadai wawili hao wanaonekana baadhi ya sehemu wakila bata kwa furaha huku kila mmoja akionekana kummis mwenzie
Ila alikua anafuta comments za huyo Eva mi sijaziona nmekuja tu majibu ya luluYule nevaeva nae sio...alimpa za uso nakwambia shikana wacha apaniki ila wale kuna lililojificha sio bure loh!!! Mtoto kina kirefu ka lake Tanganyika chaaaa
Ila we mkaka unapenda umbea huku unajifanya hupendi ha ha ha haHapa napita tu kwakweli