Urafiki wa Wema, Kajala warudi Upya

Urafiki wa Wema, Kajala warudi Upya

Niliona ,mimi nilimchamba kidogo tu akaniblock ***** ,angeniacha ningemvua nguo hadharan na ushirikina wake,mtoto mdogo mchawi,magonjwa yote anayo yeye
Hahahahaaa uwiiii jamani warumi wewe?
 
yaan@warumi ukiwa naye mchezoni inabidi simu ziwe off madirisha na milango ibanwe sawasawa maana simu ikiita/ sauti ikatokea nje kuashiria kaumbea atachomoa chaap hatajali
Uwiiiii warumi alishasema wifi yetu kamrudisha kijijini huko.
Nyie huyu mtu ana vituko acha tu.
 
Ndio ubabaishaji na kupenda mambo yaliyozidi kimo
 
Niliona ,mimi nilimchamba kidogo tu akaniblock ***** ,angeniacha ningemvua nguo hadharan na ushirikina wake,mtoto mdogo mchawi,magonjwa yote anayo yeye
Vijembe anamrushia mke wa seki

Wanaume nao wajifunze sio kila machafchaf wanayarukia tu
 
Hii ingekuwa reality show wangeuza sana...sijui hii ni season ya ngapi y aurafiki huu I lost count
 
Ni kweli hawa madem wana mapenzi ya dhati na mira hivyo au kuna kilichowapeleka uwanjani tena visiwani unguja.?
 
Ni kweli hawa madem wana mapenzi ya dhati na mira hivyo au kuna kilichowapeleka uwanjani tena visiwani unguja.?

Soko limekua dogo sasa hivi, Uncle Magu kawatemesha watu bandari, sherehe za kuvutia mkwanja nazo zimepigwa chini....in short hali ni mbaya inabidi kuangalia varieties za soko huria (wanasoka, wanamuziki)!!

Dah!! Maisha haya!! Ukijifanya mjanja ukayawahi tu Imekula kwako na husipopata wa kukustua akakushika mkono kukutoa shimoni ndio tamati inapokaribishwa even before the Dawn!!

nifah warumi nimesoma mahali kwamba mdada (miss tz) now anakula powder?!
 
Ouwky hapo nimekusoma mdau. Kama vp amkamate mwana bongo flaver ili kujipatia fursa za poda. Kwenye mpira atapotea.
 
Soko limekua dogo sasa hivi, Uncle Magu kawatemesha watu bandari, sherehe za kuvutia mkwanja nazo zimepigwa chini....in short hali ni mbaya inabidi kuangalia varieties za soko huria (wanasoka, wanamuziki)!!

Dah!! Maisha haya!! Ukijifanya mjanja ukayawahi tu Imekula kwako na husipopata wa kukustua akakushika mkono kukutoa shimoni ndio tamati inapokaribishwa even before the Dawn!!

nifah warumi nimesoma mahali kwamba mdada (miss tz) now anakula powder?!
Miss yupi mamii?Current au wa zamani?
Kama ni huyu current nitafurahije?
 
Hahahahaha ha nifah acha tabia mbaya waombee wenzetu haya Mambo mwisho wake mbaya sana!!
Miss yule wa mwaka 6002......
Anjela Damas?Yule dada mrembo vile jamani?
You can't be serious.
Nakumbuka kipindi kile anashinda na akawa anatangaza Ocean Sandals nikanunuliwa Idd,nilifurahije?
Hadi leo simsahau.
 
Anjela Damas?Yule dada mrembo vile jamani?
You can't be serious.
Nakumbuka kipindi kile anashinda na akawa anatangaza Ocean Sandals nikanunuliwa Idd,nilifurahije?
Hadi leo simsahau.

Weweeeee nawe umekunywa za wapi leo?? nifah hiyo 6002 = 2006 umenisoma sasa?
 
Jana nilikuwa na usingizi sana wakati nasoma hiyo comment.
Atajijua mwenyewe na maisha yake,yule kuna nini hajatumia?
Hadi bange si alikuwa anavutishwa na Jumbe?
Waiiiiiii

Angekua anatumia weed Angekua tofauti sana unless alikua anavuta cocktail ya ganja ( weed + sembe) hapo sawa!
 
Back
Top Bottom