Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
yaan@warumi ukiwa naye mchezoni inabidi simu ziwe off madirisha na milango ibanwe sawasawa maana simu ikiita/ sauti ikatokea nje kuashiria kaumbea atachomoa chaap hatajali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiiii warumi alishasema wifi yetu kamrudisha kijijini huko.yaan@warumi ukiwa naye mchezoni inabidi simu ziwe off madirisha na milango ibanwe sawasawa maana simu ikiita/ sauti ikatokea nje kuashiria kaumbea atachomoa chaap hatajali
Vijembe anamrushia mke wa sekiNiliona ,mimi nilimchamba kidogo tu akaniblock ***** ,angeniacha ningemvua nguo hadharan na ushirikina wake,mtoto mdogo mchawi,magonjwa yote anayo yeye
ha ha ha haya banaIla we mkaka unapenda umbea huku unajifanya hupendi ha ha ha ha
hahaaIla we mkaka unapenda umbea huku unajifanya hupendi ha ha ha ha
Ni kweli hawa madem wana mapenzi ya dhati na mira hivyo au kuna kilichowapeleka uwanjani tena visiwani unguja.?
Miss yupi mamii?Current au wa zamani?Soko limekua dogo sasa hivi, Uncle Magu kawatemesha watu bandari, sherehe za kuvutia mkwanja nazo zimepigwa chini....in short hali ni mbaya inabidi kuangalia varieties za soko huria (wanasoka, wanamuziki)!!
Dah!! Maisha haya!! Ukijifanya mjanja ukayawahi tu Imekula kwako na husipopata wa kukustua akakushika mkono kukutoa shimoni ndio tamati inapokaribishwa even before the Dawn!!
nifah warumi nimesoma mahali kwamba mdada (miss tz) now anakula powder?!
Miss yupi mamii?Current au wa zamani?
Kama ni huyu current nitafurahije?
Anjela Damas?Yule dada mrembo vile jamani?Hahahahaha ha nifah acha tabia mbaya waombee wenzetu haya Mambo mwisho wake mbaya sana!!
Miss yule wa mwaka 6002......
Anjela Damas?Yule dada mrembo vile jamani?
You can't be serious.
Nakumbuka kipindi kile anashinda na akawa anatangaza Ocean Sandals nikanunuliwa Idd,nilifurahije?
Hadi leo simsahau.
Weweeeee nawe umekunywa za wapi leo?? nifah hiyo 6002 = 2006 umenisoma sasa?
Jana nilikuwa na usingizi sana wakati nasoma hiyo comment.Huyo wema na wewe Nifah....hata mimi nilisikiaga anakula.
Jana nilikuwa na usingizi sana wakati nasoma hiyo comment.
Atajijua mwenyewe na maisha yake,yule kuna nini hajatumia?
Hadi bange si alikuwa anavutishwa na Jumbe?
Waiiiiiii