Urahisi na uzuri wa combination ya PCB!!

Toxicer

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
42
Reaction score
0
Msaada ! Ni mambo gan yanatakiwa kuwanayo ili mtu aione kuwa ni rahisi saana kuimaster?
 
Hyo comb ina masomo virus kama phy na bios na hayo masomo hayaitaj kulalalala kama unaenda private ambayo ni core xul hapo itakuwa poa kdogo na pia kama ni govt lakin ni core xul pia ni poa ila mxul n kuji2ma vnatakiwa sana lakin kama unaenda mixture aisee then na ww ndo wlewale hyo comb haikufai unaweza ukaambulia 4 au zero mwisho nikwambie 2 inategemea na m2 binafx IQ yake n jinx ya kujitambua ktika hyo comb soma la kupumulia kdogo labda chemst na pia somo kama phycx ni somo ambalo lnapoteza mda mwing kulisoma alaf matokeo yake unakuta S E au hata F so inabid uanglie sana ratba yako physicx isile mda wako sana coz bado bios inakusubiri nayo inamambo meng vbaya so unaweza ukakta unakomaaa na phycx alaf mwisho wa cku inakuangusha pia bios nayo coz uliinyima mda nayo inakuangusha unabaki na chemst 2 na ndo maana matokeo ya PCB weng unakuta ni F-phy,S-bios,D-chemist sasa haya matokeo haykusaidii kwa chochote ni bora ungekaza kwenye Bios na chemistry ili utoke. Ni hayo 2 mkuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
wakuu mm ndoto zangu ilikuwa PCB na ilikubali kwa CBB, bt shule niliyopelekwa ina HGE na EGM pekee, naombeni ushauri wenu, nifanyaje?
 
Ahsante saaana mkuu! Vp lakini kuhusu vitabu vizuri vya phy bio chem? Ambavyo m2 anabidi awe navyo ?
 
hama shulee mapema! Kwani umepangwa comb gan na je hyo shule kwenye choice zako hukuichagua, also inawezekana kwenye zle comb tano ulizochagua uliweka egm na hge, Uongo! Kweli?
 
Ahsante saaana mkuu! Vp lakini kuhusu vitabu vizuri vya phy bio chem? Ambavyo m2 anabidi awe navyo ?

Baadhi ya vitabu muhimu vya physics ni: Principles of Physics(class XI and XII,by S.Chand),Advanced level phy(Nelkon),Advanced phy(by Roger muncaster) na Fundamentals of phy etc.Viko vingi sana,ila kwa upande wangu nakushauri uanze na Principles of Physics(chand I).
 
xante saaaana mkuu! Je vp kwa upande wa Bios & Chem"ry???!
 
Na je vp bei za vitabu hivyo ??

Principles of Physics(bei inavary kuanzia sh35000 hadi sh47000),Nelkon(kuanzia sh20000 hadi sh35000),Roger(kuanzia sh75000).Pia viko vitabu vingine kama utakuwa na pesa ya kutosha,mf;-Advanced physics(by Tom Duncan) sh 50000,Calculation for A level Physics na Comprehensive Physics class XI and class XII(hiki ni kizuri sana).Kiujumla bei zake zinakuwa kuanzia 30000 na kuendelea.Kama uko Dar nakushauri uende kariakoo uvitafute vya bei poa,nadhani utavipata vingi.
 
xante saaaana mkuu! Je vp kwa upande wa Bios & Chem"ry???!

Upande wa Chemistry pia kuna;Conceptual Chemistry class XI na class XII(By S.Chand),Together with chemistry(kimeandikwa india),Vitabu vya Mzumbe project,Organic Chem part A na part B(by Abdallah),Inorganic chem part I na part II(By T.I.E),Advanced CHEMISTRY(by Ramsden) n.k.Pia zipo na resources mbali mbali unazoweza kuzitumia like vitini(hasa vitini vya NGAIZA).
 
xante saaaana mkuu! Je vp kwa upande wa Bios & Chem"ry???!

Upande wa Bios sifahamu kwa sababu sikusoma Bios.Ila kuna kitabu ninachokikubali sana kwa Bios,kinaitwa BIOLOGICAL SCIENCE(almaarufu B.S) ni kitabu kikubwa chekundu nakushauri ukitafute,bei yake ni sh 35000.
 
Nimejua meng kupitia thread hii hasa kwa comb yangu ya pcb but nahtaj kufaham kwa kariakoo duka la vtab la uhakika kupata iv vtab kwa bei nafuu kdogo lipo maeneo gani?
Alaf review ya phy,chem na bio znauzwaje?
 
Ahsante saaana mkuu! Vp lakini kuhusu vitabu vizuri vya phy bio chem? Ambavyo m2 anabidi awe navyo ?

PCB haina shida dogo kama unajituma. Usipoteze muda anza kusoma from day 1. Biology check Biological Science (Soper et al), Understanding Biology na Functional Approach. Bei kwa BS ni kama 35 hivi na Understanding ni 65 kama sijakosea.
 
Ahsante sana mkuu! Lakini mbona physics inaonekana kuwa janga la kitaifa tena hasa kwa wachukuwao pcb?? Nini kifanyike kuleta mabadiliko??
 
Hyo comb ina masomo virus kama phy na bios na hayo masomo hayaitaj kulalalala kama unaenda private ambayo ni core xul hapo itakuwa poa kdogo na pia kama ni govt lakin ni core xul pia ni poa ila mxul n kuji2ma vnatakiwa sana lakin kama unaenda mixture aisee then na ww ndo wlewale hyo comb haikufai unaweza ukaambulia 4 au zero mwisho nikwambie 2 inategemea na m2 binafx IQ yake n jinx ya kujitambua ktika hyo comb soma la kupumulia kdogo labda chemst na pia somo kama phycx ni somo ambalo lnapoteza mda mwing kulisoma alaf matokeo yake unakuta S E au hata F so inabid uanglie sana ratba yako physicx isile mda wako sana coz bado bios inakusubiri nayo inamambo meng vbaya so unaweza ukakta unakomaaa na phycx alaf mwisho wa cku inakuangusha pia bios nayo coz uliinyima mda nayo inakuangusha unabaki na chemst 2 na ndo maana matokeo ya PCB weng unakuta ni F-phy,S-bios,D-chemist sasa haya matokeo haykusaidii kwa chochote ni bora ungekaza kwenye Bios na chemistry ili utoke. Ni hayo 2 mkuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

ahsante saana mkuu kwa ushauri vp kuhusiana na ratiba ya phcs maana ni janga la kitaifa hasa kwa pcb!
 
Ahsante sana mkuu! Lakini mbona physics inaonekana kuwa janga la kitaifa tena hasa kwa wachukuwao pcb?? Nini kifanyike kuleta mabadiliko??

Well said wahanya......dogo ktk elimu hakuna janga la kitaifa.....ni wewe unatakaje,watu walikuwa wanatoboza mpaka one.....(ma bookworm...hapo hakuna vipaji)ni msuri kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom