Urahisi na uzuri wa combination ya PCB!!

Urahisi na uzuri wa combination ya PCB!!

huhusu phy mdogo wang inategemea na uwezo wako lakin wa2 weng huisoma sana lakin mwisho wasiku inawapiga chini me nliopt kwasababu nlikuwa siitegemei so nkakaza sana kwenye chemst na bios na ndo zmentoa nahyo phy nna S
 
yaan kwa bois inabid uwe na biological science na Understanding,unaweza kuwa navyo vyote au kimoja wapo inategemea na uwezo wako

about chemistry hakna ktabu kzur sana zaid ya chand na pia vitini vyakutosha hvi vya kina unga mandia etc

physicx kaka kama kawaida yake kila kitabu ni kzur lakin inabid angalau upitie vtabu vyote lakin kwa kuanzia anza na chand 5 na chand 6

NOTE;
hvyo vtabu vyote vnaenda sambamba na vitini au kama we unaenda private bax notes za mwalimu
 
huhusu phy mdogo wang inategemea na uwezo wako lakin wa2 weng huisoma sana lakin mwisho wasiku inawapiga chini me nliopt kwasababu nlikuwa siitegemei so nkakaza sana kwenye chemst na bios na ndo zmentoa nahyo phy nna S

Ahsante mkuu! Nimekupata lakini vp kwa upande wa chem nichukue chand ipi maana naona zina aina mkuu!
 
chand 11 hyo ya 4m 5 na kuna chand 12 ya 6 ila hzo zote ni refference 2 ila kaza sana kwenye notec hku kwenye vitabu ni vile vya kusolvia maswali meng zaid na pia ktabu kmoja 2 knatosha hyo chand ya 4m 5
 
Na vp kuhusu BAM? Inasomekaje ?

katika wa2 wanaoongoza kufeli bam ni pamoja na hao by de way ukiipa mda bam angalau kila cku unaipitia lazma ukutoe lakin ukiisoma kama gs yaan mpaka cku ya pepa aisee utaiona ni mzigo
 
Back
Top Bottom