Hyo comb ina masomo virus kama phy na bios na hayo masomo hayaitaj kulalalala kama unaenda private ambayo ni core xul hapo itakuwa poa kdogo na pia kama ni govt lakin ni core xul pia ni poa ila mxul n kuji2ma vnatakiwa sana lakin kama unaenda mixture aisee then na ww ndo wlewale hyo comb haikufai unaweza ukaambulia 4 au zero mwisho nikwambie 2 inategemea na m2 binafx IQ yake n jinx ya kujitambua ktika hyo comb soma la kupumulia kdogo labda chemst na pia somo kama phycx ni somo ambalo lnapoteza mda mwing kulisoma alaf matokeo yake unakuta S E au hata F so inabid uanglie sana ratba yako physicx isile mda wako sana coz bado bios inakusubiri nayo inamambo meng vbaya so unaweza ukakta unakomaaa na phycx alaf mwisho wa cku inakuangusha pia bios nayo coz uliinyima mda nayo inakuangusha unabaki na chemst 2 na ndo maana matokeo ya PCB weng unakuta ni F-phy,S-bios,D-chemist sasa haya matokeo haykusaidii kwa chochote ni bora ungekaza kwenye Bios na chemistry ili utoke. Ni hayo 2 mkuu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
wakuu mm ndoto zangu ilikuwa PCB na ilikubali kwa CBB, bt shule niliyopelekwa ina HGE na EGM pekee, naombeni ushauri wenu, nifanyaje?
Ahsante saaana mkuu! Vp lakini kuhusu vitabu vizuri vya phy bio chem? Ambavyo m2 anabidi awe navyo ?
Baadhi ya vitabu muhimu vya physics ni: Principles of Physics(class XI and XII,by S.Chand),Advanced level phy(Nelkon),Advanced phy(by Roger muncaster) na Fundamentals of phy etc.Viko vingi sana,ila kwa upande wangu nakushauri uanze na Principles of Physics(chand I).
Na je vp bei za vitabu hivyo ??
xante saaaana mkuu! Je vp kwa upande wa Bios & Chem"ry???!
xante saaaana mkuu! Je vp kwa upande wa Bios & Chem"ry???!
Ahsante saaana mkuu! Vp lakini kuhusu vitabu vizuri vya phy bio chem? Ambavyo m2 anabidi awe navyo ?
PCB haina shida dogo kama unajituma. Usipoteze muda anza kusoma from day 1. Biology check Biological Science (Soper et al), Understanding Biology na Functional Approach. Bei kwa BS ni kama 35 hivi na Understanding ni 65 kama sijakosea.
Hyo comb ina masomo virus kama phy na bios na hayo masomo hayaitaj kulalalala kama unaenda private ambayo ni core xul hapo itakuwa poa kdogo na pia kama ni govt lakin ni core xul pia ni poa ila mxul n kuji2ma vnatakiwa sana lakin kama unaenda mixture aisee then na ww ndo wlewale hyo comb haikufai unaweza ukaambulia 4 au zero mwisho nikwambie 2 inategemea na m2 binafx IQ yake n jinx ya kujitambua ktika hyo comb soma la kupumulia kdogo labda chemst na pia somo kama phycx ni somo ambalo lnapoteza mda mwing kulisoma alaf matokeo yake unakuta S E au hata F so inabid uanglie sana ratba yako physicx isile mda wako sana coz bado bios inakusubiri nayo inamambo meng vbaya so unaweza ukakta unakomaaa na phycx alaf mwisho wa cku inakuangusha pia bios nayo coz uliinyima mda nayo inakuangusha unabaki na chemst 2 na ndo maana matokeo ya PCB weng unakuta ni F-phy,S-bios,D-chemist sasa haya matokeo haykusaidii kwa chochote ni bora ungekaza kwenye Bios na chemistry ili utoke. Ni hayo 2 mkuu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ahsante sana mkuu! Lakini mbona physics inaonekana kuwa janga la kitaifa tena hasa kwa wachukuwao pcb?? Nini kifanyike kuleta mabadiliko??