huhusu phy mdogo wang inategemea na uwezo wako lakin wa2 weng huisoma sana lakin mwisho wasiku inawapiga chini me nliopt kwasababu nlikuwa siitegemei so nkakaza sana kwenye chemst na bios na ndo zmentoa nahyo phy nna S
Na vp kuhusu BAM? Inasomekaje ?