Kondom ni uasherati katika sura nyingine - acheni zinaa jamani. Kama huna mwenzi subiri, kama unaye ni yeye pekee mpaka umauti utakapowakuta
Kondom sio uasherati, ila watu ndio waasherati. Condom ni kinga dhidi ya magonjwa na mimba zisizotarajiwa. Unaweza kutumia condom na mkeo au mpenzi wako mmoja mnaeaminiana.
Kondom ni uasherati katika sura nyingine - acheni zinaa jamani. Kama huna mwenzi subiri, kama unaye ni yeye pekee mpaka umauti utakapowakuta
Nono the Great:
Mimba zisizotarajiwa ni matokeo ya uasherati
Magonjwa "ya zinaa" ni matokeo ya uasherati
Kutumia kondomu kufanya tendo la ndoa na mke/mume wako ni uasherati
Kufanya tendo la ndoa na mwanamke/mume asiye mke/mume wako ni uzinzi
Bwana akupe nguvu ya kuiepuka kondomu

Big up kwa mbogo aliye lamba hii tenda (ni mshkaji flani, mambo ndo hayo!)Nono the Great: