Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Hueleweki.Lugha yako nyepesi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hueleweki.Lugha yako nyepesi sana.
Tunakwamishwa na ubinafsi wa wale walioishi ughaibuni na kurudi wakapewa vyeo wakajisahau.Kwa miaka kadhaa sasa, kumekuwa na mijadala kadhaa Tanzania kuhusu uwezekano wa Watanzania kuwa na uraia pacha.
Serikali imekuwa na woga wa kutoa uraia pacha kwa hoja kwamba itaongeza hofu ya usalama (security issuesTu), kwamba mtu anafaya kosa Tanzania kwa uraia wa Tanzania then anakimbilia nje kwenye uraia wa pili.
Hoja hii mie naipinga sana kwa sababu kuna utaratibu wa kimataifa wa kukabiliana na uhalifu (cross border crime controls) kuna ushirikiano wa kipolisi kimataifa (Interpol).
Tunapoteza vingi sana kwa kutokua na uraia pacha, hasa kimapato. Tulijadili sana hili suala kwenye katiba pendekezwa miaka ile, ila likapingwa na wajumbe wa bunge la katiba.
Ningeomba serikali ilione hili kwa macho marefu, iruhusu uraia pacha.
Nafikiri uje mkeka comprehensive wa faida na hasara...kwa individuala na Serikali
Kama mnataka kuishauri Serikali
Hapo umbegugi ndugu yangu. Diaspora anachangia pato la nchi kikubwa tu. Ulizia mabenki na miamara uone wanavyoongeza pato kwa kutuma pesa nchini.Amueni moja tuu,Kama majuu kunalipa kaeni huko,Kama vipi TZ mnakupenda rudini tujenge Tanzania ya viwanda.
Maana hamchelewagi kuanza vurugu kwa kisingizio Cha demekrasi maana mnapakukimbilia Kama bwa na yuleee wa Ubelgiji.
Ni viongozi tunaowachaguwa au wanaoiba kura kujifanya wanajuwa kuliko sisi! Kujifanya wanajuwa lipi bora kwetu. Uoga wao ndio mateso yetu.Kwa miaka kadhaa sasa, kumekuwa na mijadala kadhaa Tanzania kuhusu uwezekano wa Watanzania kuwa na uraia pacha.
Serikali imekuwa na woga wa kutoa uraia pacha kwa hoja kwamba itaongeza hofu ya usalama (security issues), kwamba mtu anafaya kosa Tanzania kwa uraia wa Tanzania then anakimbilia nje kwenye uraia wa pili.