Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Unazungumza hoja za kutunga bila ushahidi wowote na una mawazo finyu sana. Huonyeshi cause na effect.
Mzee tulia, umeukana uraia wako mwenyewe kwa mambo ya kupita tu, you have uprooted yourself the pumpkin at your own home state. hatutaki hata maiti zao huku.
Mkuu,Kwani Uraia maana yake ni nini?Masharti ya kuwa Raia ni yapi?Majukumu ya Raia ni yapi,Faida za uraia ni zipi?Ukishaelewa hivyo vyote basi hizo poit zako hapo juu zinayeyuka kama barafu.Ila ili nikutoe tongotongo nitajaribu kukupa majibu matatu makuu.Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa.
Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman, Singapole, Malaysia, nk) itakuwaje kama wezi hawa watakuwa na fursa ya kuwa na uraia pacha?
Hata nchi ndogo/changa zenye uraia pacha hatuoni faida za maana wanazozipata kwa kuwa na uraia pacha zaidi ya kuongezeka kwa wizi na utapeli ndani ya nchi zao tu. hata nchi zilizoruhusu uraia pacha (diaspora) naazo ni masikini pia, zinapigana, na wizi mwingi na mkubwa wa rasilimali zao. hatuna cha kujifunza kutoka kwa nchi hizo.
Faida tutakayopata kama tutaruhusu uraia pacha ni ndogo sana by far kuliko hasara tutakayoingia. Sababu ziliwafanya Nyerere, karume, mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuukataa Uraia wa nchi mbili bado zipo hadi kesho.
Kuna watu wanatoa sababu dhaifu sana za kuruhusu uraia pacha za kupata wachezaji wa mpira na wawekezaji, ni za kipuuzi kabisa. Tutapanua lango la kupitia wezi wa mali zetu na kutumia barabara pana kuzisafirisha huko Swiss na visiwa vya Jersey kwa urahisi kabisa mchana kweupe.
Siungi mkono upuuzi huu.
Eti diaspora watatuma fedha nyingi sana nyumbani, una ushahidi gani kama watatuma, nani atawalazimisha kutuma? mdogo wangu wa tumbo moja ana miaka zaidi ya 25 yuko ng'aambo, na hana cha maana alichofanya nyumbani. Baada ya baba yake kufa ndio kabisaa kakata mguu. Sasa hivi ni mtanzania wa tz tu lakini hatumi je, akichukua na uraia wa kule si ndio atapotea kabisa. Kumpa uraia mtu kama huyo ni kuongeza idadi bila sababu. Unaweza kufungua dirisha halafu wakaingia inzi, papasi, nzige, majani ya miti iliyokauka na mavumbi tu na hewa chafu badala ya hewa safi ya oxygen.Moja kati ya mada dhaifu haswaa 2024
Eti diaspora watatuma fedha nyingi sana nyumbani, una ushahidi gani kama watatuma, nani atawalazimisha kutuma? mdogo wangu wa tumbo moja ana miaka zaidi ya 25 yuko ng'aambo, na hana cha maana alichofanya nyumbani. Baada ya baba yake kufa ndio kabisaa kakata mguu. Sasa hivi ni mtanzania wa tz tu lakini hatumi je, akichukua na uraia wa kule si ndio atapotea kabisa. Kumpa uraia mtu kama huyo ni kuongeza idadi bila sababu. Unaweza kufungua dirisha halafu wakaingia inzi, papasi, nzige, majani ya miti iliyokauka na mavumbi tu na hewa chafu badala ya hewa safi ya oxygen.
Kabla ya kuukana uraia wa tanzania huwa mnaomba ushauri au mnaitaarifu serikali ya tanzania, au ni unilateral decision yenu na familia zetu? Hatukatai kuwa ziko chembembe za faida kwenye uraia pacha, bali ni sawa na chuya zenye mchele bala ya mchele wenye chuya. Tofautisha kati ya mchele wenye mawe na mawe yenye mchele. Uraia pacha una faida kwa nchi tajiri na ni hasara kwa nchi masikini. Nchi tajiri zinapata cheap labour kwa njia rahisi sana kwa sera yao ya kutoa uraia kwa watu wa mataifa mengine, na wanachagua nani wa kumpa na nani wasimpe kutokana na malengo yao yaliyoratibiwa vizuri sana na mifumo inayosomana. Yaani watu wote wa nchi hizo wanajulikana status zao kila sehemu ya kutoa huduma kuanzia kwenye kodi, uhamiaji, bank, hospitali, kwenye uchaguzi, nk. Sisi hapa kwetu hatujuani, hata wahamiaji wanaweza kuwa marais bila kujua.Ukiwa na roho nzuri kwa mwenzio basi mambo yako yatakunyookea, lakini ukifanya roho mbaya hutafanikiwa. Piga tu hesabu ya haraka kati ya watanzania m60 + diaspora ambao ni wachache sana sidhani hata 10000 wanafika
Wewe nenda katafute maisha ukiwa mtanzania, kama ukiukana uraia wa tanzania ni kwamba umetusaliti, the door of never return itakuhusu, hatuwezi kulala milango wazi tukisubiri mtu alieukana utanzania arudi kutununulia milango na kufuri, Huko ni sawa na kupokea fedha za binti yako anaedanga mitaani.Bongo bana…watu wanataka wote tugawane umasikini. Kwa hiyo uraia pacha ndo unatufanya tusipate huduma za Umeme? uraia pacha ndo unawafanya watawala wakwapue mabilion ya kodi za Watanzania? Haya madeal machafu yote yanafanywa kwa sababu ya uraia pacha? Umeongelea mabaya ya uraia pacha. Hujaongelea mazuri ya huo uraia. Unajua ni kiasi gani cha pesa za kigeni zinatumwa na hao dayaspora?
mkuu bado unajitafuta. Kama Huwezi kwenda nje kutafuta..waache wenye Nia na nguvu waende. Wewe endelea kusindikiza misafara ya Makonda.
Tunajua kuwa serikali muda mwingine inapokea ushauri, mapendekezo na maamuzi kutoka kwa watanzania wasio watanzania. Hebu msikilize CDF wetuMoja kati ya mada dhaifu haswaa 2024
Hivi nchi kama Marekani wana roho nzuri kwa nchi nyingine? Ni maskini? Mafanikio yangu yananitosha, alhamdulilah silali na njaa. Lakini uraia pacha uliasisiwa na nchi za magharibi kwa maslahi yao ya kiuchumi na kiusalama. Sisi kwenye uraia pacha tutaambulia kuzalisha wasaliti, mafisadi, magaidi na vibaraka wenye hadhi ya kimataifa kwa urahisi zaidi kuliko ilivyo Sasa.Ukiwa na roho nzuri kwa mwenzio basi mambo yako yatakunyookea, lakini ukifanya roho mbaya hutafanikiwa. Piga tu hesabu ya haraka kati ya watanzania m60 + diaspora ambao ni wachache sana sidhani hata 10000 wanafika
Dunia nzima inawategemea Marekani.Hivi nchi kama Marekani wana roho nzuri kwa nchi nyingine? Ni maskini? Mafanikio yangu yananitosha, alhamdulilah silali na njaa. Lakini uraia pacha uliasisiwa na nchi za magharibi kwa maslahi yao ya kiuchumi na kiusalama. Sisi kwenye uraia pacha tutaambulia kuzalisha wasaliti, mafisadi, magaidi na vibaraka wenye hadhi ya kimataifa kwa urahisi zaidi kuliko ilivyo Sasa.
Dunia nzima inawategemea Marekani.
Nchi changa isiyokua miaka nenda rudi, wananchi wanajiita wanyonge, ccm imewashika hasa. Jioneni wachanga tu.Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa.
Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman, Singapole, Malaysia, nk) itakuwaje kama wezi hawa watakuwa na fursa ya kuwa na uraia pacha?
Hata nchi ndogo/changa zenye uraia pacha hatuoni faida za maana wanazozipata kwa kuwa na uraia pacha zaidi ya kuongezeka kwa wizi na utapeli ndani ya nchi zao tu. hata nchi zilizoruhusu uraia pacha (diaspora) naazo ni masikini pia, zinapigana, na wizi mwingi na mkubwa wa rasilimali zao. hatuna cha kujifunza kutoka kwa nchi hizo.
Faida tutakayopata kama tutaruhusu uraia pacha ni ndogo sana by far kuliko hasara tutakayoingia. Sababu ziliwafanya Nyerere, karume, mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuukataa Uraia wa nchi mbili bado zipo hadi kesho.
Kuna watu wanatoa sababu dhaifu sana za kuruhusu uraia pacha za kupata wachezaji wa mpira na wawekezaji, ni za kipuuzi kabisa. Tutapanua lango la kupitia wezi wa mali zetu na kutumia barabara pana kuzisafirisha huko Swiss na visiwa vya Jersey kwa urahisi kabisa mchana kweupe.
Siungi mkono upuuzi huu.
Inawezekana ikawa ni kwenye fikra.Uchanga wa Tanzania uko wapi?
Sawa mkuu.
Hivi nchi kama Marekani wana roho nzuri kwa nchi nyingine? Ni maskini? Mafanikio yangu yananitosha, alhamdulilah silali na njaa. Lakini uraia pacha uliasisiwa na nchi za magharibi kwa maslahi yao ya kiuchumi na kiusalama. Sisi kwenye uraia pacha tutaambulia kuzalisha wasaliti, mafisadi, magaidi na vibaraka wenye hadhi ya kimataifa kwa urahisi zaidi kuliko ilivyo Sasa.
kunywa K-VANT bro!!!!.....mimi nilishapiga sana vita hili jambo!!!!!!.......wataibuka mataeli yenye PHD!!!Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa.
Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman, Singapole, Malaysia, nk) itakuwaje kama wezi hawa watakuwa na fursa ya kuwa na uraia pacha?
Hata nchi ndogo/changa zenye uraia pacha hatuoni faida za maana wanazozipata kwa kuwa na uraia pacha zaidi ya kuongezeka kwa wizi na utapeli ndani ya nchi zao tu. hata nchi zilizoruhusu uraia pacha (diaspora) naazo ni masikini pia, zinapigana, na wizi mwingi na mkubwa wa rasilimali zao. hatuna cha kujifunza kutoka kwa nchi hizo.
Faida tutakayopata kama tutaruhusu uraia pacha ni ndogo sana by far kuliko hasara tutakayoingia. Sababu ziliwafanya Nyerere, karume, mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuukataa Uraia wa nchi mbili bado zipo hadi kesho.
Kuna watu wanatoa sababu dhaifu sana za kuruhusu uraia pacha za kupata wachezaji wa mpira na wawekezaji, ni za kipuuzi kabisa. Tutapanua lango la kupitia wezi wa mali zetu na kutumia barabara pana kuzisafirisha huko Swiss na visiwa vya Jersey kwa urahisi kabisa mchana kweupe.
Siungi mkono upuuzi huu.
Kwanihiyo tz sio nchi changa, nani kakuroga?Nchi changa isiyokua miaka nenda rudi, wananchi wanajiita wanyonge, ccm imewashika hasa. Jioneni wachanga tu.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app