Uraia pacha kwa taifa changa ni kifo kuliko faida

Kuna watu wana Akili nyingi sana lakini nizakuwasaidia Kula na kuenda Haja.
 
Magaidi wengi ni wa mlengo wa dini ya Kiislam ona kule Nigeria Bocco Haram wanavyotesa watu,njoo Somalia,Sudan,Kenya na nchi zingine za Kiarabu.
Tumia maarifa,hao wanaouwa wengine,sio magaidi,hao ni bijana walalahoi,wanatumia na magaidi,wanaojificha kwa mgongo wa uraia pacha au kupata uraia kupitia nchi asiyozaliwa,mtu anapata passport ya UK au America kwa kujifanya ni msomali,hawa wenye uraia pacha na uraia wa fraud,ndio wanaokwenda sehemu mbalimbali,kuwashawishi vijana na kuwapa pesa,ili wafanye huo uhalifu,halafu wao wanaoshawishi na kutoa pesa,wanarudi walikotoka.Hawa ndio magaidi.Kukiwa duniani hakuna uraia pacha,na hakuna passport za fraud,ugaidi utakwishwa.
 
Uliza nani anaewapa silaha na fedha za kutekelezea ugaidi. Hao boko haramu na ISIS wafadhili wake ni nchi za magharibi na kaka yao mkubwa.
Na pia kupewa uraia pacha na kupewa passport za hizo nchi kama UK na America kiholela.Mtu hana asili ya America wala ya Uingereza,lakini ana passport ya UK.Tuseme hawa wazungu,hawajui hili,la uraia pacha au kupewa passport ,asiyekuwa na asili ya hizo nchi,ndio zinasababisha ugaidi na uhalifu wa kimataifa?
 
Tumia maarifa,hao wanaouwa wengine,sio magaidi,hao ni bijana walalahoi,wanatumia na magaidi,wanaojificha kwa mgongo wa uraia pacha au kupata uraia kupitia nchi asiyozaliwa,mtu anapata passport ya UK au America kwa kujifanya ni msomali,hawa wenye uraia pacha na uraia wa fraud,ndio wanaokwenda sehemu mbalimbali,kuwashawishi vijana na kuwapa pesa,ili wafanye huo uhalifu,halafu wao wanaoshawishi na kutoa pesa,wanarudi walikotoka.Hawa ndio magaidi.Kukiwa duniani hakuna uraia pacha,na hakuna passport za fraud,ugaidi utakwishwa.
Isak mchezaji wa Newcastle anaishi Somalia au England?Wewe tumia akili yako vizuri Ulaya jambo jema kwao ni kwamba kila mtu anakaribishwa kuishi kwao.Na hata Waislam ni wengi nchi hizo hata Marekani.Kama alitoka kwao akiwa gaidi anaenda kujificha Ulaya Magharibi na Marekani akipata mtaji wa kutosha anaanza kuendeleza upumbavu wenu wa mauaji mnaouona una faida kwenu.Kama tu Wamasai mmewafurasha kwenye ardhi yao ya asili ili ndugu zenu kutoka Oman na Dubai waje wapandikize ujinga na upumbavu wa kujilipua mabomu ili Tanzania isitawalike.
Hatuwezi mtutawale kila kitu nguvu na akili.Na sisi tuna akili ndiyo maana tunaomba siku moja nchi yetu ikubaliane na hili jambo la Uraia pacha ili tuweze kufika kwenye ngazi zingine.Mpaka sasa hivi watoto wengi wa Viongozi wakuu wa nchi wako ng'ambo ya nchi hii na huko wanazaliana na huwezi kuwapangia waoe au waolewe na nani ni matakwa yao huko waliko.Ugaidi unaouzungumzia wewe chanzo chake ni jamii fulani ya watu kujiona wao ni bora kuliko jamii zingine na wana haki ya kufanya chochote kiovu muda wowote kwa sababu dini yao inawalinda.
 
dubai is part of UAE
oman is another country
don't mix up things
do you have a proof that oman is part of the deal in Masai
don't just criticize without proof because you dislike something or someone
 
Noted.
 
Hiyo ni kidogo sana, ugaidi unazaliwa na mataifa ya magharibi na marekani pale yanapotaka rasilimali zenu. Mkigungua rasilimali nyingi ambazo wao hawazifaidi basi jiandaaeni ni ugaidi wa kupandikiziwa. Osama, Sadam, Gadaffi na wengine kule DR Congo, Niger, Afrika ya kati, Sudan kusini, sudan, Msumbiji, Nigeria na kwingine kote kwenye mali nyingi wazungu watapandiza magaidi. Na sifa kuu ya mtu anaefaa kutumiwa kuwa gaidi lazima awe na uraia wa nchi husika na uraia wa nchi nyingine ya wanaomtuma. yaani ni rahisi kuingia kwenye nchi husika kwakuwa anaifahamu vizuri na hamna mashaka nae. Wanaoeneza ushoga huku kwetu ni raia wenzetu wenye passport za kwetu ambao wamerahisishiwa kuingia mataifa yanayodhamini ushoga. Yaani wao ni rahisi kupewa visa za nchi hizo na saa nyingine wamepewa passport za siri za nchi hizo.
Ndugu yangu hawa wa2 humu hawawezi kukuelewa kutokana na capacity yao ya kudadavua mambo kuwa ndogo sana!!! labda nijazie nyama kwenye point yako ingawa kuna kipindi nilishaelezea!!!,,,,ujue kuna wa2 wanaitwa PEPETS au COMRADORS!!,,,hawa ni wa2 wenye uraia wao wa asili ambao wanakuwa mataifa ya magharibi wanakuwa traine kwa siri na mashirika ya kijasusi ya huko kama CIA-AMERIKA,M16-ENGLAND,MOSSAD-ISRAIL,ma mengine meeengi tu kama kutoka UFARANSA ,,,nadhani mliona yuel kijana wa kiatanzani aliyeuwawa huko PALESTNE,wanasema alienda kujifunza kilimo,lakini baada ya kufa IDF{jeshi la ISRAIL lilimwita babake kwa mazungumza},,,,naomba nisinukuliwe vibaya,najaribu tu kuunganisha DOT{sina uhakika na niandikacho kuhusu huyo kijana}}aaaah!! sasa hawa ma-agent wanapewauraia wa izo kisri na wanalipwa pesa ndefu tu ili wakirudi huku wanakuja kuhujumu uchumi kwa maslai ya mabeberu{ wengi wao ni wale walioenda kusoma vyuo vyao kama HARVAD,YALE n.k,,,,sasa,utakuta marais wa kiafrika wakienda kutembelea mataifa matahani USA,,,anapata mwaliko wa kwenda kwenye chuo labda cha HARVAD kutoa speech,na atapata bahati ya kuonana na watanzania wasomao hapo,,,so kuna connection itatengenezwa kwamba kuna kijana hapa anaakili blaa!! {kumbe kijana mwenyewe kapikwa kaiva!! ataambiwa huyu akimaliza ukimpachika kwnye wizara ya madini,atakusaidia sana!!!!unaona bhana!!!!na baada ya speech anapewa UDOKTA wa heshima!!!!!,,,,,,,,,sasa kzi inaanzia pale kijana anaporudi AFRIKA na kupewa hiyo wizara!! unajua kitakachotokea ni blaaa!!"MIKATABA YA KIFISADI",,,wazungu wajanja sana na hawana huruma,juzi kati kuna spika wa nchi flani,siikumbuki,alichaguliwa kuwa BOSI wa MABUNGE yote DUNIANI!!,unajua kwa nini???,,,hiyo nchi ilipkwa grisi mambo yaende,,,,juzi pia naskia hiyo nchi imefutiwa madeni!!!! da!!!!!! noma sana!!!!.......bro skia usbishane na vichwa vidogo watakupasua ubongo wako bure!!"DON'T URGUE WITHA FOOL BECAUSE PEOPLE MIGHT NOT NOTICE THE DIFFERENCE""" kwa kumalizia naomba nikumbushe yule gaidi wa zamani aliyekamatiwa SUDAN1!!!,,CARLOS THE JACLE,,,jamaa alikuwa raia wa VENEZUELA lakini alikuwa na passport kibao!!!,,,,,kwa nini wazungu hawapeleki jeshi CONGO kama wanavofanya kungine??
 
Na pia kupewa uraia pacha na kupewa passport za hizo nchi kama UK na America kiholela.Mtu hana asili ya America wala ya Uingereza,lakini ana passport ya UK.Tuseme hawa wazungu,hawajui hili,la uraia pacha au kupewa passport ,asiyekuwa na asili ya hizo nchi,ndio zinasababisha ugaidi na uhalifu wa kimataifa?
Kwani wale PMC Wagner wapiganaji wa kujitolea wa Urus ni warusi? Je, hawa M23 anadhani wanapatiwa na nani silaha na mafunzo, unadhani wale wapiganaji wanazo passports na uraia wa nchi ngapi? Hata wanasiasa wenye uraia pacha ni hatari sana kwa nchi, anachochea watu hapa, wakipigana yeye anakimbilia kuishi kihalali kabisa kwenye nchi yake nyingine anasikilizia huko wakati watu wakitwangana na kuana wenyewe kwa wenyewe.

Uraia pacha utasababisha watawala na watumishi kutuibia hapa na kwenda kuishi na kuwekeza kirahisi na bila bughudha kwenye nchi zao nyingine. Hatujafikia huko sisi, bado vitu vyetu vingi havifanyikazi kikamilifu (porous) kuzuia wizi na ufisadi, Hebu fikiria kuwa mtu mmoja DPP anapewa mamlaka ya kusamehe watu makosa hata yale ya wizi mkubwa (ufisadi) kwa njia ya bargaining walipe wenyewe kile walichoiba ili wasishitakiwe. Huu ni upuuzi kabisa.
 
Hayo unayosema hakuna uthibitisho kuwa kila mwenye dual citizenship atayafanya kwa nchi yetu. Hakuna uthibitisho wala ulazima kuwa utakuja kuwekeza, kusaidia ndugu zako wala kirudi tanzania ukistaafu. Mchi inataka kodi yako leo ili ikenge miundombinu, ilipe mishahara ya askari wanaoilimda mipaka ya nchi na rasilimali zake, tuambie kodi yako wewe tutaipataje ili nawe uwe na haki kamili?
Kwani hizo hela natuma kwa jamaa na ndugu wafanye biashara hawalipi kodi?
Unafikiri hatukuwekeza huko kama wazawa?
Leo nikitaka kurudi natupa passport ya huku na kuchukua ya huko means naukana tena wa huku nachukua original unafikiri haiwezekani?

Tutabishana sana hapa ila kuna watu hawakuzaliwa huko ila wanaingia kila leo na kuoata uraia kama wako

Tembea mitaani unaona wanawake wamevaa Sari matumbo wazi ila hawasimamishwi hata siku moja kuulizwa sheria
Ila msomali na Ethiopians wanakoma kisa hawana hela

Unajua Africa au nchi masikini au corrupt country unapata chochote unachotaka
Kwa kumalizia kodi yangu utaipata pindi nitakapokuja na nilichonacho
Kwani nikiingiza malori matano na kulipia ushuru wake na zikaanza kazi serikali haipati kodi hapo

Umetushupalia diaspora ila huko viongozi wanaiba kila leo hela za miradi
Mnajengewa Choo cha shule kimoja kwa milion 30 kweli?
Hao ndio wazalendo unaowasifia
Naona nimemaliza upande wangu
Kwa taarifa yako tu natuma tz kila mwezi 4m na zinalipiwa kodi na ndugu kwa matumizi yao ya kila siku hata wakinywa maji kodi imelipwa kwa hela zangu
 
Maana yake unataka kusema uraia pacha wapewe wale tu wanaotuma pesa nyingi kwa ndugu na jamaa zao na wale waliowekeza mitaji yao Tanzania? Kama kuna haja ya kuwatambua kwanza wale wote wanaotuma pesa kwa ndugu zao na waliowekeza na wale wasiotuma pesa na kuwekeza kwao ndio wapewe uraia pacha? Wajibu number moja wa raia ni kulipa kodi kwa nchi yake sawa na raia wengine kwaajili ya maendeleo na uendeshaji wa nchi yake. Haiwezekani wewe unalipa kodi nchi nyingine halafu uwe na haki sawa na wanaolipa kodi kwa maendeleo ya nchi yao. Huo ni uhujumu, unaishi kwa jasho la wengine.
 
Hakuna mtu anatakiwa kulipa kodi kwa niaba ya mwingine, hata baba yako mzazi huwezi kumlipia kodi, maana kila kichwa kina wajibu huo, vinginevyo watoto na ndugu wa Bahressa wasingelipa kodi maana baba yao analipa kodi kubwa kwa nchi yake.
 
Naunga mkono hoja! Labda ungetupa mifano ya nchi ambazo zina uraia pacha na zinapata hasara kwa kuruhusu uraia pacha!

Hata hivyo Wizi na Uharifu unatokana na udhaifu wa Serikali kusimamia Sheria!
Upo sahihi.
 
Maana yake unataka kusema uraia pacha wapewe wale tu wanaotuma pesa nyingi kwa ndugu na jamaa zao na wale waliowekeza mitaji yao Tanzania? Kama kuna haja ya kuwatambua kwanza wale wote wanaotuma pesa kwa ndugu zao na waliowekeza na wale wasiotuma pesa na kuwekeza kwao ndio wapewe uraia pacha? Wajibu number moja wa raia ni kulipa kodi kwa nchi yake sawa na raia wengine kwaajili ya maendeleo na uendeshaji wa nchi yake. Haiwezekani wewe unalipa kodi nchi nyingine halafu uwe na haki sawa na wanaolipa kodi kwa maendeleo ya nchi yao. Huo ni uhujumu, unaishi kwa jasho la wengine.
Hebu tuelewane kwanza hapo nini maana ya uraia pacha?

Kupewa uraia pacha kwanza sharti awe mtz alikuwa raia wa huko na kupata uraia sehemu nyingine haijalisha anatuma hela wala nini
Kwani kuna wabongo wangapi hawana ajira au hawalipi kodi
Unafikiri uraia pacha ukitoka unadhani wote watarudi nyumbani jibu ni hapana na kuna wengine wala hawajali kuwepo kwa uraia pacha au la
Naona una hasira sana na diaspora kuna ndugu kakufungia vioo huku ama
Naona nimalizie tu huu mjadala kwa kusema Serikali ndio ina maamuzi kutoa uraia pacha au la na maoni yako yatasikilizwa pia utakapoulizwa
Uwe na siku njema acha nipambane na wewe pambana tu maisha
Haya ya Uraia watoe wasitoe mimi ni mtz na nikitaka nakuja kuishi na wala huwezi kunitofautisha na mtz mwingine
Have a nice day
Kwangu nimefunga huu mjadala nahamia nyuzi zingine
 
Ndugu yangu hawa wa2 humu hawawezi kukuelewa kutokana na capacity yao ya kudadavua mambo kuwa ndogo sana!!! labda nijazie nyama kwenye point yako ingawa kuna kipindi nilishaelezea!!!,,,,ujue kuna wa2 wanaitwa PEPETS au COMRADORS!!,,,hawa ni wa2 wenye uraia wao wa asili ambao wanakuwa mataifa ya magharibi wanakuwa traine kwa siri na mashirika ya kijasusi ya huko kama CIA-AMERIKA,M16-ENGLAND,MOSSAD-ISRAIL,ma mengine meeengi tu kama kutoka UFARANSA ,,,nadhani mliona yuel kijana wa kiatanzani aliyeuwawa huko PALESTNE,wanasema alienda kujifunza kilimo,lakini baada ya kufa IDF{jeshi la ISRAIL lilimwita babake kwa mazungumza},,,,naomba nisinukuliwe vibaya,najaribu tu kuunganisha DOT{sina uhakika na niandikacho kuhusu huyo kijana}}aaaah!! sasa hawa ma-agent wanapewauraia wa izo kisri na wanalipwa pesa ndefu tu ili wakirudi huku wanakuja kuhujumu uchumi kwa maslai ya mabeberu{ wengi wao ni wale walioenda kusoma vyuo vyao kama HARVAD,YALE n.k,,,,sasa,utakuta marais wa kiafrika wakienda kutembelea mataifa matahani USA,,,anapata mwaliko wa kwenda kwenye chuo labda cha HARVAD kutoa speech,na atapata bahati ya kuonana na watanzania wasomao hapo,,,so kuna connection itatengenezwa kwamba kuna kijana hapa anaakili blaa!! {kumbe kijana mwenyewe kapikwa kaiva!! ataambiwa huyu akimaliza ukimpachika kwnye wizara ya madini,atakusaidia sana!!!!unaona bhana!!!!na baada ya speech anapewa UDOKTA wa heshima!!!!!,,,,,,,,,sasa kzi inaanzia pale kijana anaporudi AFRIKA na kupewa hiyo wizara!! unajua kitakachotokea ni blaaa!!"MIKATABA YA KIFISADI",,,wazungu wajanja sana na hawana huruma,juzi kati kuna spika wa nchi flani,siikumbuki,alichaguliwa kuwa BOSI wa MABUNGE yote DUNIANI!!,unajua kwa nini???,,,hiyo nchi ilipkwa grisi mambo yaende,,,,juzi pia naskia hiyo nchi imefutiwa madeni!!!! da!!!!!! noma sana!!!!.......bro skia usbishane na vichwa vidogo watakupasua ubongo wako bure!!"DON'T URGUE WITHA FOOL BECAUSE PEOPLE MIGHT NOT NOTICE THE DIFFERENCE""" kwa kumalizia naomba nikumbushe yule gaidi wa zamani aliyekamatiwa SUDAN1!!!,,CARLOS THE JACLE,,,jamaa alikuwa raia wa VENEZUELA lakini alikuwa na passport kibao!!!,,,,,kwa nini wazungu hawapeleki jeshi CONGO kama wanavofanya kungine??
Ahsante kaka umemaliza kila kitu nilichotaka wakielewe kwenye uzi huu. God bless you!!! critical thinkers miongoni mwetu ni wachache sana, hawaoni kilocho nyuma ya pazia. Wazungu walishatangaza kuwa hawana kitu cha bure kwao (No free lunch), hawana scholarships, mafunzo, msaada, mkopo wala dawa za bure kwa yeyoyote yule bila kujali maasilahi yao. Kila mtu na kila raia aliyepata mafunzo kwa njia scholarship inayotolewa na serikali ya nchi za wazungu hasa nchi za magharibi na marekani ni suspect wa kutuhujumu kwa maslahi ya wazungu. Watu wa dini waliopata mafunzo yao huko ndicho vichaka vyao vinavyoaminaka namba moja, viongozi wa dini ni hatari sana sana sana na ni mafikio yao salama wanapozitembelea nchi mbalimbali. Wale waliosoma nje wanajua namna wanafunzi wanaoperform vizuri wanavyokuwa treated vyuoni na siku ya kumaliza mafunzo.
 
Hebu tuelewane kwanza hapo nini maana ya uraia pacha?

Kupewa uraia pacha kwanza sharti awe mtz alikuwa raia wa huko na kupata uraia sehemu nyingine haijalisha anatuma hela wala nini
Kwani kuna wabongo wangapi hawana ajira au hawalipi kodi
Unafikiri uraia pacha ukitoka unadhani wote watarudi nyumbani jibu ni hapana na kuna wengine wala hawajali kuwepo kwa uraia pacha au la
Naona una hasira sana na diaspora kuna ndugu kakufungia vioo huku ama
Naona nimalizie tu huu mjadala kwa kusema Serikali ndio ina maamuzi kutoa uraia pacha au la na maoni yako yatasikilizwa pia utakapoulizwa
Uwe na siku njema acha nipambane na wewe pambana tu maisha
Haya ya Uraia watoe wasitoe mimi ni mtz na nikitaka nakuja kuishi na wala huwezi kunitofautisha na mtz mwingine
Have a nice day
Kwangu nimefunga huu mjadala nahamia nyuzi zingine
Uwelewa wako ni mdogo sana, bora tu usome posts za wengine. Hakuna raia ambae halipi kodi bila kujali una ajira au huna ajira, maana hata ukinunua chumvi na sigara utakuwa umelipa kodi, ukipanda daladala umelipa kodi, ukitumia simu umelipa kodi. Sasa wewe hivyo vyote unavifanya huko Marekani au Ufaransa, unalipa kodi huko lakini unataka uwe sawa na hawa wanaolipa kodi ya mapato na kodi nyingine.
 
Unazungumza hoja za kutunga bila ushahidi wowote na una mawazo finyu sana. Huonyeshi cause na effect.
Huwezi kutumikia mabwana 2 kwa wakati mmoja, huwezi kupanda farasi wawili at the same time.
 
Uraia sio mutually exclusive thing kwamba ukiwa raia wa nchi moja automatically huwezi kuwa raia wa nchi nyingine, kama mfano wako unavyoonyesha. Kwani sisi ni wa kwanza? Mbona hiki ni kitu kidogo tu ni cha kutungia sheria unaweka mipaka ya mtu mwenye uraia pacha mfano US huwezi kuwa rais kama huna uraia wa kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom