Uraia pacha kwa taifa changa ni kifo kuliko faida

Twende kwa hoja, acha kutukana
Maisha ya nje ni bora kwa kila nyanja
Mimi situkani kwetu ila mbadilike na wizi na uongo na kubebana
Leo mna chipukizi watoto wanaanza kufundishwa bado wadogo ili waje kuiba ukubwani
Na nyie mnachekelea tu
Nje na ndani kama maisha yanalingana sawa ila ni mbingu na ardhi
Shida hakuna, huko ni kuzuri sasa uraia wa huku ambako hulipi kodi unataka wa nini? nchi gani itaendelea bila kulipa kodi? kodi yako unailipa wapi?. Inajulikana kuwa watu wa magharibi na marekani wanayo mitaji mikubwa kwa kuziibia nchi nyingine, ni wezi wakubwa (neocolonialism), na watu wao wanalipa kodi kikamilifu. Huwezi kuwa na haki kamili na raia anaelipa kodi zake. Huko ni ile asiyefanya kazi na asile kwelikweli. Vijana wetu huku wanachofeli ni uvivu na ukosefu wa mitaji. Kila mtu anatamani kujenga nyumba yake mwenyewe bila kujali kipato chake, na wizi unaanzia hapo. Viongozi ni wezi na raia ni wezi pia. Lakini dawa ya hili sio uraia pacha.
 
Mkuu nakuelewa vizuri sana
Kwa sisi kuwa na dual itasaidia zaidi kwa sababu ya uwekezaji kwani bado tuna familia zetu na wanapambana, ila na mimi nawasaidia nao wanajisaidia sana
Itafika mda wa kustaafu unajua savings niliyonayo na pensions zangu mbili ni hela nzuri tu ambayo naweza kufanya kitu kikubwa kwa jamii huko na hata kuajiri watu wengi tu
Ila kama hamtutaki haina shida kwa Afrika kuna nchi nyingi wanaweza kunikaribisha na kupewa land kubwa tu
Lakini plan yangu ni kununua nyumba Spain na kuishi kwa raha tu
Watoto wamekua baadhi wana maisha yao
Popote ni maisha mkuu ila kuishi kwa permit bongo halafu mbongo ulieacha uraia
Majibu ya uhamiaji na kuzungushwa bila sababu

Ila kuna watu huko hata lugha shida lakini wanagongewa miaka 10 huku wakiwa na pass za nje

Rushwa ndio shida boss na uhasidi pia unaoletwa na tamaa
Acha niendelee na kupambana kwanza nikifa napo basi
Mchana mwema
 
Kama watanzania ni masikini unataka uraia pacha wa nini? kaa na uraia wa sehemu tajiri. Sisi huku ni masikini jeuri. Ukifungua mlango wako wataingia wema na wezi, na shida yetu sio wema bali wale wezi wa ndani na nje. Ukikarbisha mgeni nyumbani hakikisha kuwa mwenyeji unakuwa wa mwisho kwenda chumbani kulala na funga mlango na nenda chumbani na ufunguo wa milango ya kutokea ili kuhakikisha kuwa mgeni hakuibii na kutoroka. Hatuwezi kuruhusu uraia pacha eti ili tupate read made wachezaji mpira wa timu yetu ya taifa (non sense) badala ya kuwekeza kwenye soka la watoto na vijana.

Wapi nimesema nautaka uraia pacha?

Nimesema watanzania mmejazwa ujinga wa kiwango cha PhD. Mnaamimi nyie ndo matajiri dunia nzima kila mtu anawaonea wivu, nyie ndo mnaamani nchi zingine zote zipo vitani kumbe in reality hakuna mtu anaijua bongo huko duniani. Mmekua mazwazwa.

Unaposema mtaibiwa ina maanisha nyie hamna akili za kulinda mali zenu? Hauamini uwezo wenu? Kwanini nyie msiende kuiba kwao na kuleta kwenu?

All of your claims stem from an Inferiority complex mnatia aibu sana.
 
Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa.

Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman, Singapole, Malaysia, nk) itakuwaje kama wezi hawa watakuwa na fursa ya kuwa na uraia pacha?

Hata nchi ndogo/changa zenye uraia pacha hatuoni faida za maana wanazozipata kwa kuwa na uraia pacha zaidi ya kuongezeka kwa wizi na utapeli ndani ya nchi zao tu. hata nchi zilizoruhusu uraia pacha (diaspora) naazo ni masikini pia, zinapigana, na wizi mwingi na mkubwa wa rasilimali zao. hatuna cha kujifunza kutoka kwa nchi hizo.

Faida tutakayopata kama tutaruhusu uraia pacha ni ndogo sana by far kuliko hasara tutakayoingia. Sababu ziliwafanya Nyerere, karume, mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuukataa Uraia wa nchi mbili bado zipo hadi kesho.

Kuna watu wanatoa sababu dhaifu sana za kuruhusu uraia pacha za kupata wachezaji wa mpira na wawekezaji, ni za kipuuzi kabisa. Tutapanua lango la kupitia wezi wa mali zetu na kutumia barabara pana kuzisafirisha huko Swiss na visiwa vya Jersey kwa urahisi kabisa mchana kweupe.

Siungi mkono upuuzi huu.
Naunga mkono hoja.
 
Hii ni kweli magaidi mengi ya kiislamu pale Gaza Yana uraia pacha yameleta msala yakasepa
Mara nyingi watu hawaelewi,wale wanaojilupua au kutupa mabomu na kuuwa watu wasio na hatia,huwa wanatumiwa na magaidi wenyewe hasa,gaidi anakuwa na uraia pacha,anawashawishi vijana na kuwalipa,wamfanyie ugaidi,halafu yeye anaondoka,anarudi alikotoka. Watu huwa wanafikiri,wanaoshawishi na kulipa watu wafanye ugaidi ni wanaume tu,wapo wanawake pia,kutoka nje ya nchi,ima ana uraia pacha,au kapata passport ya UK au Amerika kwa njia za fraud.
Mimi huwa yanishangaza sana nchi hizi za UK au America,kutokungundua hili,kwa kuwapa passport,wasiokuwa wqzaliwa wa nchi hizo,na hao wqtu kudanganya kuwa kazaliwa Somalia,wakati sio mzaliwa wa Somalia.
 
Magaidi wengi ni wa mlengo wa dini ya Kiislam ona kule Nigeria Bocco Haram wanavyotesa watu,njoo Somalia,Sudan,Kenya na nchi zingine za Kiarabu.
 
Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa.

Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman, Singapole, Malaysia, nk) itakuwaje kama wezi hawa watakuwa na fursa ya kuwa na uraia pacha?

Hata nchi ndogo/changa zenye uraia pacha hatuoni faida za maana wanazozipata kwa kuwa na uraia pacha zaidi ya kuongezeka kwa wizi na utapeli ndani ya nchi zao tu. hata nchi zilizoruhusu uraia pacha (diaspora) naazo ni masikini pia, zinapigana, na wizi mwingi na mkubwa wa rasilimali zao. hatuna cha kujifunza kutoka kwa nchi hizo.

Faida tutakayopata kama tutaruhusu uraia pacha ni ndogo sana by far kuliko hasara tutakayoingia. Sababu ziliwafanya Nyerere, karume, mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuukataa Uraia wa nchi mbili bado zipo hadi kesho.

Kuna watu wanatoa sababu dhaifu sana za kuruhusu uraia pacha za kupata wachezaji wa mpira na wawekezaji, ni za kipuuzi kabisa. Tutapanua lango la kupitia wezi wa mali zetu na kutumia barabara pana kuzisafirisha huko Swiss na visiwa vya Jersey kwa urahisi kabisa mchana kweupe.

Siungi mkono upuuzi huu.

Hivi hii kauli ya Taifa changa ina maana gani.. huo uchanga uko wapi.. maana kwa Africa ukiniambia taifa Changa walau tuwape sudani ya Kusini waliopata uhuru 2011 maana hata hao Eritrea waliopata uhuru 93 sio wachanga washavuka huko..

Yaan taifa lina miaka 60 unaita taifa changa.. 50 yrs ago kuna mataifa tulilingana nao uchumi uko Asia leo wao wako mbali sie tuna mark
Time tunajificha kwenyw kichaka cha kujidogosha...

Wanasiasa wanaendelea kuwakaririsha kuwa bado wadogo huku wao wanajichotea na kurithishana keki za taifa

Kauli za kimaskini kama hz zinatakiwa zifutike kwenye ubongo wa wa tz
 
Kwa nini uwe na uraia wa nchi mbili? Wewe ni Malaya? Toka lini Malaya akamheshimu mwanaume aliye lala naye?!
 
Uraia pacha unayafaidisha zaidi mataifa makubwa, Kwa maana ukweli ni kwamba mtu yeyote anataman kuwekeza katika taif lenye fulsa nyingi na mifumo rafiki kwa maendelea ya mtu mmoja mmoja. Hivyo siyo watanzania wazawa watazifaidisha nchi walizonunua uraia na wageni wakuja tz watafaidika na tz so hatuna cha kuvuna hapo sababu ya ubovu wa mifumo yetu hakuna mtu anataka hasara kisa uzarendo wa kijingajinga ka huu.
 
Mkuu nakuelewa vizuri sana
Kwa sisi kuwa na dual itasaidia zaidi kwa sababu ya uwekezaji kwani bado tuna familia zetu na wanapambana, ila na mimi nawasaidia nao wanajisaidia sana
Itafika mda wa kustaafu unajua savings niliyonayo na pensions zangu mbili ni hela nzuri tu ambayo naweza kufanya kitu kikubwa kwa jamii huko na hata kuajiri watu wengi tu
Ila kama hamtutaki haina shida kwa Afrika kuna nchi nyingi wanaweza kunikaribisha na kupewa land kubwa tu
Lakini plan yangu ni kununua nyumba Spain na kuishi kwa raha tu
Watoto wamekua baadhi wana maisha yao
Popote ni maisha mkuu ila kuishi kwa permit bongo halafu mbongo ulieacha uraia
Majibu ya uhamiaji na kuzungushwa bila sababu

Ila kuna watu huko hata lugha shida lakini wanagongewa miaka 10 huku wakiwa na pass za nje

Rushwa ndio shida boss na uhasidi pia unaoletwa na tamaa
Acha niendelee na kupambana kwanza nikifa napo basi
Mchana mwema
Hayo unayosema hakuna uthibitisho kuwa kila mwenye dual citizenship atayafanya kwa nchi yetu. Hakuna uthibitisho wala ulazima kuwa utakuja kuwekeza, kusaidia ndugu zako wala kirudi tanzania ukistaafu. Mchi inataka kodi yako leo ili ikenge miundombinu, ilipe mishahara ya askari wanaoilimda mipaka ya nchi na rasilimali zake, tuambie kodi yako wewe tutaipataje ili nawe uwe na haki kamili?
 
Wapi nimesema nautaka uraia pacha?

Nimesema watanzania mmejazwa ujinga wa kiwango cha PhD. Mnaamimi nyie ndo matajiri dunia nzima kila mtu anawaonea wivu, nyie ndo mnaamani nchi zingine zote zipo vitani kumbe in reality hakuna mtu anaijua bongo huko duniani. Mmekua mazwazwa.

Unaposema mtaibiwa ina maanisha nyie hamna akili za kulinda mali zenu? Hauamini uwezo wenu? Kwanini nyie msiende kuiba kwao na kuleta kwenu?

All of your claims stem from an Inferiority complex mnatia aibu sana.
Hatuna akili, sheria, mifumo na utashi wa kulinda mali zetu bado. Bado majizi wasiopelekwa jela ni wengi, majizi mengine yana kinga ya kutokushitakiwa. Tuacheni kwanza, maana hata kuchimba madini yetu hatuwezi bado.
 
Uraia pacha unayafaidisha zaidi mataifa makubwa, Kwa maana ukweli ni kwamba mtu yeyote anataman kuwekeza katika taif lenye fulsa nyingi na mifumo rafiki kwa maendelea ya mtu mmoja mmoja. Hivyo siyo watanzania wazawa watazifaidisha nchi walizonunua uraia na wageni wakuja tz watafaidika na tz so hatuna cha kuvuna hapo sababu ya ubovu wa mifumo yetu hakuna mtu anataka hasara kisa uzarendo wa kijingajinga ka huu.

URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU.

UTANGULIZI

Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika. Uraia pacha pia unachochea ushirikiano wa kimataifa, kukuza uhusiano wa kibalozi, na kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kijamii kati ya Tanzania na diaspora yake. Diaspora ya Tanzania ina jukumu muhimu katika maendeleo ya nchi yao. Wanaleta mchango mkubwa kwa njia mbalimbali, kama vile kutuma fedha za kigeni, kuwekeza katika miradi ya maendeleo, na kujenga uhusiano wa kiuchumi na kibiashara na nchi wanazoishi.

MSIMAMO WA SHERIA ZA TANZANIA KUHUSU URAIA PACHA

Sheria za uraia nchini Tanzania zinatokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Sheria hizi zinatambua aina mbili za uraia: uraia wa kuzaliwa na uraia wa kupata. Uraia wa kuzaliwa unahusu watu wanaozaliwa ndani ya mipaka ya Tanzania. Uraia wa kupata unahusu watu ambao wanaweza kupata uraia wa Tanzania kupitia taratibu za kisheria.

Hata hivyo, sheria za uraia nchini Tanzania haziruhusu mtu kuwa na uraia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Msimamo wa serikali ya Tanzania kuhusu uraia pacha umekuwa kwa mujibu wa sheria za uraia zilizopo. Serikali imekuwa ikisisitiza kuwa uraia pacha unaweza kusababisha usawa na mkanganyiko miongoni mwa Watanzania. Hivyo, Tanzania imeendelea kutekeleza sera ya kutokuruhusu uraia pacha, kwa lengo la kudumisha utambulisho na uhuru wake wa kitaifa.

FAIDA ZA URAIA PACHA KWA MAENDELEO YA TANZANIA

Kuwezesha diaspora kufurahia haki za raia na kuwekeza nchini: Uraia pacha unatoa fursa kwa diaspora ya Tanzania kuwa na haki kamili za raia katika nchi yao ya asili. Kwa kuwa na uraia pacha, Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanaweza kufurahia haki za kimsingi kama vile kumiliki mali, kufanya biashara, kupata huduma za afya, na kushiriki katika shughuli za kisiasa. Hii inawawezesha kuchangia kikamilifu katika maendeleo ya nchi yao, kwa kuwekeza katika miradi ya maendeleo na kuchangia katika ukuaji wa uchumi.

Ushirikiano wa kiuchumi na kiteknolojia kati ya Tanzania na diaspora: Uraia pacha unajenga jukwaa la ushirikiano wa kiuchumi na kiteknolojia kati ya Tanzania na diaspora yake. Diaspora inayokuwa na uraia pacha inaweza kuleta ujuzi, maarifa, na mtaji wa kiuchumi kutoka nchi wanazoishi kwenda Tanzania. Hii inaweza kusaidia katika kukuza sekta mbalimbali za uchumi kama vile viwanda, kilimo, utalii, na huduma za kitaalamu. Ushirikiano huu unaweza kusaidia kuboresha uvumbuzi, teknolojia, na ubunifu, na hivyo kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini Tanzania.

Kuchochea maendeleo ya kijamii na kiutamaduni: Uraia pacha unawezesha diaspora ya Tanzania kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya kijamii na kiutamaduni ya nchi yao. Diaspora inayokuwa na uraia pacha inaweza kuleta michango ya kiutamaduni, mila, na desturi kutoka nchi wanazoishi, na kushirikiana na jamii za Kitanzania. Hii inasaidia kudumisha na kukuza utambulisho wa Kitanzania, kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa, na kushirikiana katika shughuli za kijamii kama vile miradi ya maendeleo ya jamii, elimu, afya, na mazingira.

UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA DIASPORA NA JUHUDI ZA KUHAMASISHA URAIA PACHA

Wito wa diaspora kuhusu uruhusu wa uraia pacha: Diaspora ya Tanzania inaona kuwa uraia pacha ni haki yao na fursa ya kuchangia maendeleo ya nchi yao. Uraia pacha utawezesha diaspora kushiriki kikamilifu katika masuala ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii nchini Tanzania. Wamekuwa wakiomba serikali kufanya mabadiliko ya sheria na katiba ili kuruhusu uraia pacha.

Kushirikiana na asasi za kiraia na vyama vya siasa katika kampeni na uhamasishaji: Diaspora ya Tanzania haijakaa kimya katika kutetea haki yao ya uraia pacha. Wamekuwa wakijenga ushirikiano na asasi za kiraia na vyama vya siasa ili kuongeza nguvu na sauti zao. Wamekuwa wakitoa taarifa na ujuzi kuhusu faida za uraia pacha kwa watanzania wote na kufanya mikutano kupitia mitandao mbalimbali ili kufikisha ujumbe wao.

Kufuatilia mchakato wa mabadiliko ya katiba na sheria za uraia: Diaspora ya Tanzania inatambua kuwa mchakato wa mabadiliko ya katiba na sheria za uraia ni fursa muhimu ya kupigania haki yao ya uraia pacha. Wamekuwa wakifuatilia hatua zote za mchakato huu, wakishiriki katika vikao vya umma, wakitoa maoni yao, na kudai mabadiliko yanayowiana na matarajio yao. Wanalenga kuhakikisha kuwa uraia pacha unajumuishwa katika rasimu ya katiba mpya na sheria mpya za uraia.

MIFANO YA NCHI NYINGINE NA MAONI YA UTAFITI

Uraia pacha katika nchi nyingine za Afrika na athari zake: Nchi kadhaa za Afrika zimeruhusu uraia pacha na zimeona athari chanya kwa maendeleo yao. Kenya, Nigeria, na Ghana zimeona ongezeko la uwekezaji, ushirikiano wa kiuchumi, na mchango mkubwa wa diaspora. Uraia pacha umewezesha diaspora kuchangia katika sekta mbalimbali kama vile elimu, afya, miundombinu, na uvumbuzi wa kiteknolojia. Mifano hii inatoa mwongozo na ushahidi wa faida za uraia pacha katika kuunganisha Tanzania na diaspora yake kwa maendeleo endelevu.

Maoni ya watafiti na wadau kuhusu uraia pacha na maendeleo: Watafiti na wadau mbalimbali wamefanya utafiti na kutoa maoni yao kuhusu uraia pacha na jinsi inavyoathiri maendeleo ya nchi. Maoni haya yanasisitiza umuhimu wa kuruhusu uraia pacha kwa maendeleo ya nchi. Uraia pacha husaidia kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na diaspora, kuchochea uwekezaji, kuleta teknolojia na ujuzi kutoka nje, na kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Maoni haya yanasisitiza pia umuhimu wa kuweka mfumo mzuri wa udhibiti na usimamizi.

HITIMISHO.
Andiko hili limejadili umuhimu wa uraia pacha katika kuunganisha Tanzania na diaspora kwa maendeleo endelevu. Uraia pacha unawapa watu faida za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote wanazotambulika kuwa raia. Diaspora ya Tanzania inachangia maendeleo ya nchi kupitia uwekezaji, kutuma fedha za kigeni, na kukuza ushirikiano.

Sheria za uraia nchini Tanzania haziruhusu mtu kuwa na uraia wa nchi mbili kwa wakati mmoja, lakini kuna umuhimu wa kuzingatia mabadiliko ya sheria na katiba ili kuwezesha uraia pacha. Uraia pacha una faida kwa maendeleo ya Tanzania, kama vile kuwezesha diaspora kufurahia haki za raia na kuwekeza nchini, kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kiteknolojia, na kuchangia maendeleo ya kijamii na kiutamaduni. Kuruhusu uraia pacha kutachochea ukuaji wa kiuchumi, kuongeza ajira, na kuboresha hali ya maisha. Ni muhimu pia kuzingatia maoni ya watafiti na wadau katika mchakato wa kufikia maamuzi sahihi.
 
Back
Top Bottom