I consider myself as a citizen of the world!
I consider myself as a citizen of the world!
Unawatupia lawama "dumb blondes" kwamba ndio walikosea, sio wewe?
Haahahahhaaaaahahaaaaaaaaaaaaaa..................
Usikasirike haraka, si wote tutakupa "thanks Kiranga......usipotee tena Kiranga...Kiranga tutafsirie hapa..."
Hahahahaaaaaaaaaaaa............
Unataka kupeleka watu wazima skuli za "Federal Reserve" kwa ubunifu wa utenzi, tafadhali kaka.
Dual Citizenship bongo inavyolostisha watu.
Kama nimekulewa vizuri, dude alikuwa na Green Card and was on his way to qualifying for US Citizenship wakati ana-apply hiyo kazi. Kwa hiyo its safe to suppose kama mtu huyu akifanikiwa kupata Uraia wa Marekani, basi Uraia wa Tanzania angeukana mara moja. Sasa sielewi issue ya "dual citizenship" inahusiana vipi na predicament ya huyu mjamaa?
...kila mtu anataka upuuzi kama wako...Limbukeni mkubwa we...... wewe unapenda sifa ...unayejifanya unaielewa Federal Reserve tuambie basi process zao zikoje.
Unabisha kwamba dumb blondes hawawezi kumess up the original declaration of requirements?
Ni nadharia ya kinyanyapaa ya mfumo dume wa Kimarekani, ambayo Kiranga kaidaka nzima nzima, inayosema wanawake wa kizungu wenye nywele za kijivu hawana kitu vichwani. Ni warembo hapana shaka, na mara nyingine hutumia kuvutia kwao kupata fursa anuwai. Mfumo dume uliosheheni ufinyu wa umudu wa sayansi. Hakuna binadamu ambae akili yake inaendana na maumbile yake ya nje. Huwezi kuagua na kutabiri kwamba mtu wa kijani au mwenye nywele ndefu atakuwa mpumbavu.Hawa "dumb blondes" au "dump blondes" ndiyo viumbe gani tena? ...
Jibu maswali, mbona unaepa epa tu?
My equanimity shun both praise and blame kwa hiyo sijui unatoa wapi ki concept kwamba natafuta thanks. Mimi nina ngozi ya mamba kwa criticism na pongezi naziangalia kama Marcus Aurelius.Usifikiri kwa sababu wewe unapenda sifa kwa kujifanya anti-pope hapa basi kila mtu anataka upuuzi kama wako.
Criticism ndiyo engine ya JF, lakini kama nilivyowaambia waliom criticize Kikwete over non issues juzi hapa, there is such a thing as overdoing it.
Wewe unayejifanya unaielewa Federal Reserve tuambie basi process zao zikoje na wapi kuna conflict na hiyo naccount hapo juu.
Limbukeni mkubwa we.
Ni nadharia ya kinyanyapaa ya mfumo dume wa Kimarekani, ambayo Kiranga kaidaka nzima nzima, inayosema wanawake wa kizungu wenye nywele za kijivu hawana kitu vichwani. Ni warembo hapana shaka, na mara nyingine hutumia kuvutia kwao kupata fursa anuwai. Mfumo dume uliosheheni ufinyu wa umudu wa sayansi. Hakuna binadamu ambae akili yake inaendana na maumbile yake ya nje. Huwezi kuagua na kutabiri kwamba mtu wa kijani au mwenye nywele ndefu atakuwa mpumbavu.
Kiranga anasema ni makarani wa kizungu wenye nywele za kijivu, yani kiasili wajinga, ndio walimpokea Mtanzania ambae ombi lake la kazi halikustahili hata kufikiriwa kufanya kazi Federal Resereve, sio raia wao.
Kwa maneno mengine, haikuwa kosa kusaili hadithi yake, ilikuwakuwaje waajiri wa Federal Reserve wafike hatua ya kupendezwa na wasifu na kumsikiliza akiwambeleza kwamba ana makazi ya kudumu wamfikirie? Kituko.
Ukishasema wewe sio raia wao, makaratasi yako yanatupwa kapuni, hawana muda kusoma wasifu, wana maombi lukuki ya raia. Ukijaza maombi Kwenye tarakishi ndio mbaya zaidi, ukishabonyeza kiboksi cha "sio raia" tovuti haliendelei mbele linakutupa nje.
Ukitumia mifano ya shida zilizowakuta ng'ambo kwa kutokuwa raia usilete tamthilia za kubuni.
Duh babu mbona leo unawaka hivyo? Wametonesha kidonda nini?
Hata mimi na wasiwasi na ukweli wa hiyo stori ya "Master of Mental JiuJitsu". Itakuwaje mtu mwenye wasifu (elimu, uzoefu wa kazi) na hadhi inayostahili kukubaliwa kazi taasisi nyeti kama Federal Reserve, ashindwe kung'amua most basic requirement ya Uraia wa Marekani kwa maombi ya kazi husika, halafu baadaye aje kuikosa ile kazi kwa sababu ya kutokuwa na huo Uraia wa Marekani?
Halafu siyo hiyo tu, kulingana na Kiranga, huyo mjamaa angeweza kuwa raia wa Marekani zamani lakini hataki kwa hiyari yake. Sasa inakuwaje atume maombi kwenye kazi ambayo imeweka wazi lazima uwe raia wa Marekani?
Hivi kweli inawezekana, kwa Marekani yote hii iliyojaa mamilioni ya raia ambao ni over-qualified kwenye kila aina ya kazi, aitwe mtu asiye raia kwenye interview Federal Reserve? Au pengine huyo mjamaa aliomba kazi ya utarishi/janitor? At any rate, Kingara atoe ushahidi ku-back-up hii stori yake.
Hata mimi na wasiwasi na ukweli wa hiyo stori ya "Master of Mental JiuJitsu". Itakuwaje mtu mwenye wasifu (elimu, uzoefu wa kazi) na hadhi inayostahili kukubaliwa kazi taasisi nyeti kama Federal Reserve, ashindwe kung'amua most basic requirement ya Uraia wa Marekani kwa maombi ya kazi husika, halafu baadaye aje kuikosa ile kazi kwa sababu ya kutokuwa na huo Uraia wa Marekani?
Halafu siyo hiyo tu, kulingana na Kiranga, huyo mjamaa angeweza kuwa raia wa Marekani zamani lakini hataki kwa hiyari yake. Sasa inakuwaje atume maombi kwenye kazi ambayo imeweka wazi lazima uwe raia wa Marekani?
Hivi kweli inawezekana, kwa Marekani yote hii iliyojaa mamilioni ya raia ambao ni over-qualified kwenye kila aina ya kazi, aitwe mtu asiye raia kwenye interview Federal Reserve? Au pengine huyo mjamaa aliomba kazi ya utarishi/janitor? At any rate, Kingara atoe ushahidi ku-back-up hii stori yake.
Sasa nyinyi mtamfanya jamaa aende off topic na mabombastiki yake...
Lakini kweli hai make sense kiaina...mtu mwenye sifa kama za huyo jamaa angejua tokea mwanzo kuwa hatimizi hiyo sifa ya uraia na hakuna haja ya kutuma maombi ya hiyo kazi.....
Ha hahahaa aahahaaaa...aaaaaa..
Naona unakubali kiani ulipoteleza. Hakuna cha kufundishana kuhusu utaratibu wa kwanza wa kufanya kazi Federal Reserve, lazima uwe raia wao, mwisho wa hadithi. Lakini wewe ukaendeleza hadithi na maelezo yako yakaonekana yamepelea halisia kuliko tamthilia. "Dump blondes" wamekosea kuchambua makaratasi ya huyu Mtanzania, si wewe liyechemsha:
Hahahahaahaaaaaaaaaaaa....
"Dumb blondes" ndio unawatupia mpira wa mchemko. Hawajaandika chochote hapa... hahahaaaaa
Ungeweza kujenga hoja ya madhara ya wigo mwembamba wa fursa za kazi ng'ambo bila uraia, bila kuleta ubunifu wa tamthilia. Ukitaka kutushawishi faida za sera ya uraia huria kwa kutumia mifano ya yanayowakuta huko ng'ambo basi tueleze halisia za huko, si utenzi.
Unasema hupendi kutukuzwa? Wewe unaeamini kwamba anaekupinga wewe ni mpinga-Papa? Kwamba hapa wewe ndio baba papa wetu hapa, kutofautiana na wewe ni kutafuta umaarufu wa mpinga-papa. Mnyenyekevu hawezi kujikuta katamka hivyo kamwe. Ukadai una "equanimity," kituko! "Equanimity" ni hali ya utulivu wa hulka na kichwa. Wewe ukijikuta kwenye kona kidogo unanambia "usiniletee ushuzi...nyamaza hujui kitu." Hizo hulka zinaonyesha chochote bali "equanimity." Chagua maneno.
Umechemsha kuleta tamthiliya ya Mtanzania ambae eti alipata "bonge la pande" Federal Reserve halafu wakaanza kujadiliana nae na kubembelezana nae kwamba hana uraia. Eti "dumb blondes" walikosea. Halafu unasema mimi ndio nimeleta hoja "ushuzi." Hahahahaahahaa...