Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Kwa nini Tanzania wanapoteza muda na pesa kujadili hili swala ambalo linawahusu Watanzania wachache sana wasiozidi 5,000 kwa kukisia, ambao kwanza hawajanyimwa haki yoyote au chochote na hakuna tabu kubwa sana inayowakera kama matatizo lukuki ambayo yanawaathiri walipa kodi.
 
mimi nadhani itakuja kuleta mchanganyiko mkubwa tukifikiri kwa hatua mbili uraia wa nchi mbili hauna madhara lakini twende kwa undani na tuone kama huyu mwenye uraia wa nchi mbili atakuwa rais au mkuu wa majeshi hatuoni kutaleta mkanganyiko mkubwa zaidi, tutakuwa na rais wa tanzania pia ni raia wa nchi nyingine, akifanya makosa uku anakimbia kwingine

THINK BIG

si kweli.

sheria huwekwa ni madaraka gani ya kisiasa ambayo mwananchi mwenye
uraia wa nchi mbili anaweza kushika na yapi hawezi kushika. aidha kuna sheria za ziada zitakazotakiwa kuwepo ili kusimamia/kuratibu masuala ya uraia wa nchi
mbili.
 
inabidi tujiulize kwa nini uu mswada unashikiwa bango? nadhan serikali ina priority ktk kuletea wananchi wake maendeleo, je, muswada wa dual citizenship utaleta faida gani hadi upewe kipaumbele hadi membe akipita kila kona kuuhubiri kama jesus enzi zake!
je hao wageni(waliokua watanzania wakaukana utanzania ili wawe raia wa nchi zingine) sisi tunawajali kwa lipi maana walitukimbia ili wakaenjoy raha za majuu sasa leo wamesahau nini? kama ni kuja kuwekeza si kweli mpaka uwe na urai wa tanzania ili uwekeze, makaburu wa kule tanzanite one(mererani), barrick kule kanda ya ziwa, tbl, nmb etc ni watanzania?
watanzania siri ya dual citizenship ni kwamba wawekezaji wanataka waenjoy benefit za utanzania kununua ardhi, kuchimba madini na kutolipa kodi na mwisho wa siku maliasili zikiisha na umasikini ukiongezeka violences are inevitable kwa iyo ndio waweze kurudi makwao kwenye nchi zao za kweli, na ndio haohao atakua anaweka pesa zake nchi za ulaya, imagine
tajiri awe na uraia wa uk na tz, pesa atakua anaweka ktk benki za nchi ipi? matunda yote atayopata kutoka tz ataenda kuyaenjoy wapi? tusidanganyike uu mswada unapigiwa debe na wb,imf na donors na utapita tu kwani serikali ishalazimishwa no turning back!
au serikali itueleze ni wageni wangapi waluiokua watanzania leo wanataka kuwa watanzania tena, na kwa sababu zipi?

mbona unajichanganya?

kumbe unajua kwamba mtu ahitaji kuwa na uraia wa nchi mbili ili
aweze "kufilisi" mali/madini ya nchi hii.
 
Mimi nasema kutoa urai kwa hao watz isiunganishwe na sbabu za kiuchumi na uwekezaji maana hapo itakuwa ni upotoshaji mkubwa. Mimi nadhani mantiki ni ya kijamii zaidi kuliko kiuchumi. Wale ni jamaa na ndugu zetu tuwape urai ili wanapokuja nchini wasihamgaike kuomba visa au kusumbuka na mambo hayo. Nina rafiki yangu ana urai wa Afrika ya Kusini juzi kalazimika kwenda Zambia kwenda kugonga mihuri yake, sasa hiyo pesa ya kwenda zambia si angefanya kitu cha maana.

Sioni ubaya kuwapa uraia watz wenzetu, ali mradi sheria zitarekebishwa kueleza kuwa ni watz tu.
 
I have read Prof Shivji's critical analysis on the dual nationality issue which is currently rolling towards an act of parliament.He dwelled on the question on who needs it most.On this case he was wrong to compare the needs of the diaspora to those who are residing in Tanzania.And he makes it worse by describing the diaspora or those who are in support of dual citizenship as a minority few!
Did he do his research properly as to number of Tanzanians in diaspora?what benefit will the citizenship bring to the country?what led for the people to travel to distant lands?are they crooks?Was nationality(uzalendo)a reason behind the push?will the act enable us to tap on the talent of the Tanzania experts scattered worldwide?
 
I have read Prof Shivji's critical analysis on the dual nationality issue which is currently rolling towards an act of parliament.He dwelled on the question on who needs it most.On this case he was wrong to compare the needs of the diaspora to those who are residing in Tanzania.And he makes it worse by describing the diaspora or those who are in support of dual citizenship as a minority few!
Did he do his research properly as to number of Tanzanians in diaspora?what benefit will the citizenship bring to the country?what led for the people to travel to distant lands?are they crooks?Was nationality(uzalendo)a reason behind the push?will the act enable us to tap on the talent of the Tanzania experts scattered worldwide?

Nakuunga mono kwa asilimia 150.Tatizo sugu kwa wasomi wetu ni uvivu wao wa kutafuta data za kusapoti hoja zao.Pamoja na heshima kubwa niliyonayo kwa Prof Shivji,udhaifu wa hoja yake unachangiwa zaidi ni kupuuza umuhimu wa takwimu katika kujenga au/na kutetea hoja husika.
 
Yaani hawa wajamaa ni more than pathetic ukweli wenyewe na wana fikra za kimaskini mno. Before nilidhani ni utani kwa wale waliokuwa wana-argue tanzania inafelisha walalahoi au hata kutowaanda sawasawa kimaisaha ili society ijae wapuuzi kwa mantiki ya wizi wao.

Hivi Tanzania si ni nchi maskini au la, hawa jamaa wamesaini EAC part of the union agreement ni free movement of people yaani Wa-Kenya, Wa-Ganda, Wa-Rundi na Wa-Nyarwanda waingie na kutoka bila ya utata. Kwa mujibu wao ni for-economicfor reason, ingawa faida kubwa zita rudi kwao walikotoka na watao kuja kikazi kuanza kugombania ajira na wazawa.

At the same time viongozi hawa hawa wanataka kuwakwamisha maelfu ya Wa-Tanzania ambao a majority ni economic migratants kuweza kusaidia ndugu na jamaa zao waliopo kwenye hali mbaya, please tell me this not more than pathetic na tuna Phd ambao wana-support hizi pumba.

Eti sikuiizi hata ukienda omba form tu za passport ubalozi wetu kuna vikorombezwo kibao wanataka kuona, ngoja niwaambie tena hii ni kwa mwenyekiti wa jumuiya yetu hapa UK bwana ABU FARAJI.

Hawa jamaa inabidi huwape somo nuksi zingine azina maana yeyote form wafanyakazi wao wanazo manyumbani mwao na wanauza £20 tu. Hivyo ni kujinyima tu kipato pale Embassy. Au kuagizia bongo sio big deal pia huwaambie hawamtishi mtu pathetics.

Viongozi wetu si matapeli tu bali ni maskini wa roho na ni cowards..
 
sasa hiyo east african community mbona kasheshe?
uganda na burundi wanaruhusu dual citizenship
wakati kenya, rwanda na tanzania hawaruhusu.
 
hii sheria itapita tuu na faida nyingi kuliko hasara na itakuwa nzuri kwa kila mtu,hakuna haja ya kuendelea kupoteza kubishana na sio lazima kila mtu akubali...lazima ipite tuu!
 
hii sheria itapita tuu na faida nyingi kuliko hasara na itakuwa nzuri kwa kila mtu,hakuna haja ya kuendelea kupoteza kubishana na sio lazima kila mtu akubali...lazima ipite tuu!

Unasema hivi kama Koba au nani? Just asking?
 
John Mashaka on the diaspora

DO “DIASPORA” DESERVE REPRESENTATION IN THE GOVERNMENT?......DEBATE!

Diaspora’s power and importance in many nations, is something that gained recognition many decades ago. Their thrust towards society transformation, could no- longer be circumnavigated; they have influenced, and changed political landscapes, embolden economic might of their nations, and transformed social dynamics. Tanzania for that matter, must also take the initiative to recognize the importance of this neglected group. Our Diaspora need representation at all levels of the government, for the country to align itself in the modern, competitive, and the ever evolving world of globalization

Mean estimate, is putting the number of Tanzania’s Diaspora at 2 million. This group will therefore, account for roughly 5% of the total population; A number far greater, than many of our regions –provinces- currently having more than five representatives The group however, does not have a voice –representation- in the running of their own country. Neither do they have the ability to exercise, their democratic right of electing their leaders, yet contributing greatly to the country’s social, and economic spheres. Tanzania’s Diaspora needs at least three representatives in the legislative, and an office in the executive branch of the government

Recent remittance data to the African continent places Nigeria ahead of the pack, with$ 3.3 billion. Kenya is second with $1.3Billion, becoming the leader in Sub-Sahara Africa in Diaspora remittance. Even though Tanzania’s rank is not clearly known in terms of foreign remittance in the past year, the data available however, averages the country in $450million if not more. This is a substantial amount for a country ranking 203 out of 208, world poorest. Diaspora’s power is massive, not only in the economic sector but on others such as the educational, technological, cultural, legal ,tourism and many more, just to name a few.

Israel realized how important her Diaspora’s were to her economy and survival; it established Diaspora’s Affairs Ministry in the heart of Jerusalem to coordinate international effort in tapping talents and support for the Jewish state. Today, Israel stands as one of the most technologically advanced nations in the world, with extra ordinary military prowess. Mexico, United States southern neighbor’s economy direly needs Diaspora’s remittance, and in 2009, it racked in close to $21 billion. Mexico has ever since, been encouraging its citizens, both educated and uneducated to cross the border in search for jobs in the US. India, China, Zimbabwe, and many more countries knows the benefit and power of Diaspora

Tanzania’s Diaspora’s representation in the legislative should not be typical political positions, but rather people’s voices; addressing the Diaspora’s legal rights within the framework of our constitution; The rights to vote while abroad, rights to have their children acquire country’s citizenship, rights for their children to participate in the political process, and the right to hold DUAL CITIZENSHIP etc. The Executive office on the other hand, should be people’s interest offices; it should serve as a logistical, and coordination office for various issues such tapping talents in the academic, research, medicine and many other fields. It should be office that recruits Tanzanian experts abroad, extending and negotiating on their behalf, better wages, tax breaks, and other incentives

This office should work on enticing and luring the Diaspora into investment, and capital transfer into the country. The office should coordinate with the parliament, on implementation of policies, and relaxation of red tapes or impediments that are currently keeping the flow of capital transfer into the country. It should make it easy for all citizens even those with foreign citizenship, to easily invest in any sector of the economy. The country need these investors, and must find every way to bring them back, and integrate them into the main stream economy.

Our country has massive brain power across the globe. It has educated, energetic young men, and women in the global fortune 100. Tanzania has citizens in the Silicon Valley, NASA, top research universities, and in the Global Capital Markets, adding value to the already developed nations. It is not that they are accustomed to, and anchored in the capitalist social habits, and convenience of drive through banking, fast food , efficient emergency response, and don’t want to return home ? NO. They all want to return to Tanzania, The only obstacle on their way is the frustrating working environment, and bureaucracy in our government.

They cannot leave free healthcare, only to be compelled into bribing a doctor in order to get treatment. They can’t leave their countries of adoption where emergency responders are highly professional and disciplined in performing their duties, only to deal with indiscipline police, and civil servants who demands bribes to do their jobs. They cannot leave their plum jobs for remunerations that won’t keep up with their accustomed lifestyles. Tanzanian Diaspora left the country in search for greener pastures, and sees it as absolute madness to return into their old frustrations if conditions are not improved.

Opponent’s dual citizenship, will try to shoot down my argument; I welcome their challenge. However, the signs of the times indicate, that this is the direction we must follow by authorizing DUAL CITIZENSHIP as our country, direly needs all of its children. Trepidations that are currently clouding the matter are far dwarfed by the potential benefits, in which Tanzania citizens in foreign countries will move freely, transferring their expertise, capital, and investments, between their countries of adoption, and their country of birth. DUAL CITIZENSHIP is here; it is inevitable. We only need to work modalities, as well as addressing legal technicalities, and minor diplomatic complications that come with it. Diaspora’s office in our government will be the best solution!

We are living in the age of fiber optics, and streaming live news, and information at our fingertips. It means things have changed, and so we must change in our thinking. While I concur with Prof. Joseph Mbele, on his ascertainment in regards to Tanzanian Diaspora, I am on the other hand, faulting him, not for his naked truth, or the scathing attack towards his countrymen, NO. Truth must be told, I am only flagging his flawed analysis, and failure to relate the cause, and effect of the problem.

As an ardent philosophical scholar, he should have harmonized the root cause, and the effects. In this case a culture that does not value education vs. ignorance. Professor Mbele should motivate and uplift our Diaspora. He needs to take the war to the corrupt rulers who do not value education, he should attack the culture that breeds and entertains ignorance, because that is the root cause of the problem, not the victims.

I am challenging Prof. Joseph Mbele, to take a paradigm shift, from his school of thought, and scrutinize the DIASPORA matter, keenly, with his magnifying lens so that he could relate the cause and effect. He should, as a graduate of hard working environment in Tanzania, trumpet in his workshops, the need for Diaspora representation in our government. He should voice his concern, on how our DIASPORA could transform the social, political, and economic dynamics of our nation, if they had free movement between their countries of adoption, and their country of birth.

DIASPORA’s representation at all levels of government is long overdue. We the people must UNITE as one nation and demand this right. Instead of letting ourselves be used abroad as political stooges, and mouth pieces for political projects and ambitions, we should instead establish Diaspora associations in every country wherever we are, in order to address our social and economic matters at the same time building bridges that could link us across, our social, economic and political divides. Professor Mbele, let’s bring our heads together so that we can we can unite, and lead our people towards a common goal, and that is transforming our society
 
those who were once tanzanians who denounced tanzanias citizenship by choosing better life abroad can come and invest just like all other investors, are white pipo from south africa who owns mines in north mara. mererani, buzwagi, factories like tbl, banks like nbc are they tanzanians? they are making profit right? so u don need to be tanzanian to invest besides they are being given priority rather than local tanzanians.
if they are desperate to help what it was once their country they simply have to denounce their current citizenship and return here and tell us with one strong voice, we love tanzania we want to help it,not some silly reasons!
much less to say we dont need them as they run away from the challenge to enjoy good life in europe and america!
a person with no origin is slave!
 
I was once informed there is a Service Commission Directive that Tanzanians living outside the country should not be considered for employment in government institutions parastatals or companies, because it would demoralize those that patriotically stayed behind to build the nation, in spite of the hardships. I thought it was total hypocricy that the government was urging Tanzanians working in foreign countries to return home and share their expertise for the good of the country. Such a message should have made it very clear that there was no way they could get employed in government institutions or parastatals. You might have seen this Directive. If you have a copy kindly share.
 
Mimi napinga wazo la kuwa na Uraia wa Nchi mbili si la msingi na hakuna faida .Vijana waamue ama Tanzania ama huko wanako kuona kuna faida .Ni uhalifu kuwa na Uraia wa Nchi mbili na si busara kabisa kuwa na uraia wa Nchi mbili .Nini faida zake? Tanzania JK na Serikali tunasema mawazo ya Ujana wa kuwa na Uraia wa Nchi 2 si mema.


mimi sishangai kuona kama tanzania bado ina watu wenye mawazo kama wewe. nadhani elimu yako ya kiulimwengu ni ndogo sana hata kama una shahada yeyote ile ya chuo. yale mawazo ya kiukominist yameshapitwa na wakati.
kama tanzania inawazuia raia wake wasiwe na uraia miwili basi hivi ni kujifunga goli wenyewe. karibuni 90% ya nchi za dunnia zimewapa haki raia kuwa na uraia miwili. faida ni nyingi sana sina haja ya kuzitaja...kendelea kuwanyima watanzania haki hii ni kuwaekea watanzania vikwazo vya kimaendeleo...kwahiyo wewe na wenzako kama wewe mnahitaji kufungua macho...fanya usafiri kidogo ,toka nje ya nchi uangalie watu wengine wanavyo ishi...umasikini uliyopo tanzania ni wakujitakia wenyewe na watu kama nyinyi ndio mnao changia huu umasikini kwa mawazo yenu finyu yasiyo na mbele.
 
of many words I hate to describe myself is that of being the "diaspora".. Tanzanians have never been to the Diaspora..!!!
 
of many words I hate to describe myself is that of being the "diaspora".. QUOTE].
Mzee Mwanakijiji, nashauri iandikie makala inayojitegemea hii hoja yako ya 'Tanzanians have never been to the Diaspora..!!!'. Nadhani you are right, ndio tunataka kuirasimisha kwa kuanzia na uraia wa nchi mbili.

Nimehudhuria mikotano mitatu ya APARC kuhusu Diasphora, yote kwa kauli moja umekubali, 'Diasphora alone, is not a panacea to African Problems'.
Safari ni hatua, tuanze kupiga hatua kwa wenzetu uliomomo kwenye greener pasture, ileteni hiyo ziada nyumbani ili huku nako kuipate japo hiyo rangi ya kijani.
 
I was once informed there is a Service Commission Directive that Tanzanians living outside the country should not be considered for employment in government institutions parastatals or companies, because it would demoralize those that patriotically stayed behind to build the nation, in spite of the hardships. I thought it was total hypocricy that the government was urging Tanzanians working in foreign countries to return home and share their expertise for the good of the country. Such a message should have made it very clear that there was no way they could get employed in government institutions or parastatals. You might have seen this Directive. If you have a copy kindly share.

...ni kweli na ilikuwa ni policy iliyosemwa na yule waziri wa kazi sijui(dont remember),lakini usishangae wengi humu mawazo yao ni kama ya yule waziri aliyetoa hiyo sera,yaani hawa washamba wanafikiri mtu kusoma au kukaa nje ni kukosa uzalendo,angalia michango ya wengi katika hii topic utagundua too much animosity towards wanaoishi nje,nchi sio rahisi kuendelea ukiwa na majority ya watu wenye akili za kuku.
 
Tanzania ceases to be independent country -- imejiunga kwenye EAC.
 
Back
Top Bottom