DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Serious ni wa huko masoko maeneo ya kisiba.......Mweeeeeehh ejooooohh!
Na mimi pia nayapenda macho yako wewe.Mi nayapenda macho yake tu huyo Shemela
mh kweli..Hivi Jdee Bado Anaakili za Kina Wema za Show Off..?..
Anaboa..Utadhani ndo Anakua wakati anaelekea Kuzeeka...
mie mzima ... nimekumiss sanaNa mimi pia nayapenda macho yako wewe.
Hujambo lakini?
according to?Mzee hyu Kijana 0-35, 36--- mzeee
Bado "kigori" kabisa !June 15, 1979 (age 37)
Umepotea sana HOEmie mzima ... nimekumiss sana
Wanaume warefu kama hao ni adimu sana. Hongera kwa JideKama urefu wa mtu unaenda sambamba na viungo vyote vya mwili,basi kuna kitu Jide alikuwa anakikosa kutoka kwa G wa habash.
Anataka muone hizo 6 packs as compared to -2 packs za mzee wa kukojoza. Wengi hawakuagi upstairsHivi Jdee Bado Anaakili za Kina Wema za Show Off..?...
Dah! Upo Kaburu?Namuonea huruma Jide na mpopo
Age CrisisHivi Jdee Bado Anaakili za Kina Wema za Show Off..?..
Anaboa..Utadhani ndo Anakua wakati anaelekea Kuzeeka...
Duu anakaribia menoposeJune 15, 1979 (age 37)
nneee mbwitu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] au Wa kihangimahuka!!?
Atakua mparakujenda tu huyuu