Uraia wa shemeji yetu mpya kwa Jide

Huyu jamaa no composer Wa music na anashiriki production pia. Nadhani wana project yao ya muziki. Jide mtu wake yupo na ana jina kidogo mjini lakini hawezi kumuweka hadharani ukienda regency utawaona tuu wanakula bata
 
Ni mwanamuziki wa Nigeria anaitwa Spicy,Rumour has it inawezekana Kick ya Ngoma walioshirikiana kwa sababu hiyo honeymoon na Campos alikua znz inawezekana walikua wanshoot video
Kama naanza kukuelewa hivi Muda utaongea
 
Huyu jamaa no composer Wa music na anashiriki production pia. Nadhani wana project yao ya muziki. Jide mtu wake yupo na ana jina kidogo mjini lakini hawezi kumuweka hadharani ukienda regency utawaona tuu wanakula bata

Hata Zari na Diamond walianza kama Project hatimaye imekuwa Projectwaaaa
 
Nawatakia mikojozano myema. Angalizo, asimuimbe mwanaume kama binti wakiachana
 
Naskia huyo ndio anamkojoza jay dee lita 10 net.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…