sagai532
JF-Expert Member
- Nov 5, 2015
- 1,149
- 561
Kumbe jide ni Mkubwa mwenzangu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]June 15, 1979 (age 37)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe jide ni Mkubwa mwenzangu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]June 15, 1979 (age 37)
MIAKA 37yrs ndo kibibi,,,,mhhhDuhh kibibi kumbe
Kumbe mpaka vizee vinapenda six packHivi Jdee Bado Anaakili za Kina Wema za Show Off..?..
Anaboa..Utadhani ndo Anakua wakati anaelekea Kuzeeka...
Kama naanza kukuelewa hivi Muda utaongeaNi mwanamuziki wa Nigeria anaitwa Spicy,Rumour has it inawezekana Kick ya Ngoma walioshirikiana kwa sababu hiyo honeymoon na Campos alikua znz inawezekana walikua wanshoot video
Huyu jamaa no composer Wa music na anashiriki production pia. Nadhani wana project yao ya muziki. Jide mtu wake yupo na ana jina kidogo mjini lakini hawezi kumuweka hadharani ukienda regency utawaona tuu wanakula bata
Exactly ni dhahabu sihaba.Naskia wadada / wamama wa umri huo ni watam kuliko under 20
Kamsaidie......!!Namuonea huruma Jide na mpopo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaonekana mtalaam na mjuzi wa haya mambo eeeeh?