Uraia wa shemeji yetu mpya kwa Jide

Uraia wa shemeji yetu mpya kwa Jide

Ngonepi

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
1,872
Reaction score
1,207
Naimani humu kuna wambea wa kutosha kabisa kunipatia habari za le Supa star Lady jaydee!!

Mimi ni shabiki mkubwa wa huyu madame, na nimeona kwa sasa akituintrodyuzi kinga'ast chake kipya, sasa naona yeye tofauti na akina Wema au Wolper amekuja na kipya kweli, sijawahi kumuona mshkaji kwenye chombo chochote cha habari cha 'She'gongo.

Ni wa wapi huyu baunsa!!,? Inaonekana ni myuzishani lakini hata Ommy dimpoz tu ni maarufu kwake, ni wa wapi huyu, si mTanzania nini!?

1480408913123.jpg
 
Back
Top Bottom