Mda mwingine mpaka nahisi wapinga nyeto wanataka vijana wapate VVU🤔Nyeto imeandamwa inapigwa vita za chini chini kila idara.....lakini imekaa imara kama Pinpin Camara....
View attachment 3164329Story za vijiweni katuletea huku.
We listen we don't judgeMimi sio daktari ila nasikia ni kianzilishi kikubwa sana cha magonjwa ya moyo.
Vijana wenzangu ukifikia hali ya kupiga nyeto mpaka mara tano kwa siku basi ujue kwamba una hali mbaya sana.
Kama kuna dawa ya kuacha nyeto basi wataalamu tusaidieni.
Ndio maana siku hizi watu wenye matatizo ya afya ya akili yanaongezeka sana.
Leo nimeandika kwa pole sana sababu kuna jamaa yangu kanihadithia kwamba. Sikuhizi dawa ya kuchelewa kukojoa ni pombe kali na kupiga nyeto.
Ikawe siku njema kwenu
Yaan ukibugia mangano na mieneji na mimaji tripu za toilet ni mfululizo au sijaelewa vizuri?Sikuhizi dawa ya kuchelewa kukojoa ni pombe kali na kupiga nyeto.