Uraibu wa picha za ngono na kujichua

Acha uongo ni kujiendekeza tu sio kingine
 
Mkuu Dr ni kwanini watu wengi wanahasisha vijana waache nyeto tena kwa jazba na kejeli mno?
Nyeto ina Athiri kwa Maswala mengine ila Sio kiafya labda kama Tukizungumza Kipsycholojia na Kiroho..

Wengi wanaohamasisha Vijana Kuacha wengi wao Ni Walioathrika na Nyeto wanahasira Kwanini hawaachi kwahyo Wanakuwa na Hasira kuwaambia watu waache wasije wakawa kama wao..

Kwa mfano Chukulia Mtu aliyevuta madawa ya Kulevya Akapata Athari ya Madawa hayo unajua Ushauri atakaomshauri Mtu anayetaka Kuanza kutumia Madawa?

Utakuwa Ushauri wa Ukali na ikuwezekanahata Kumpiga kwa sababu anajua Kipi kinaelekea Kumpata
 
Kwa hio waache kupiga nyeto au waendelee?
 
Sasa @drmambo jambo Ebu tueleze hapo kiroho kivipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…