Uraibu wa picha za ngono na kujichua

Mimi najuaga nyeto inapigwa kipindi kile cha uvulana sasa nashindwa kuelewa mnapigaje baada ya hapo? Wanawake wote hawa?
 
Nyeto haina uhusiano na magonjwa ya moyo wala matatizo ya afya ya akili. Leta uthibitisho wa kisayansi wa uliyoyasema kutoka reputable sources tuone ukweli wa taarifa zako. Kwanza nyeto ni sehemu ya afya kama hujui.
 
Unapiga nyeto mara ngapi kwa siku?
 
Nyeto haihusiani na magonjwa ya moyo acha kupotosha uma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…