Uraibu wa punyeto/kujichua kwa zaidi ya miaka kumi suluhisho lake nini na uchukua muda gani tiba

Ed8

Member
Joined
Aug 6, 2019
Posts
61
Reaction score
36
Samahani wadau nahitaji msaada nashida ya kuwa na uume mdogo na kuwai kumwaga na kila aina ya matatizo kutokana na kujuchua toka mwaka 2011 mpaka sasa nmeanza program ya NOFAP nko siku ya 10 nahitaji msaada kwa yeyote yule alie wai kuwa na hali kama yangu.

Ambae ka experience ili suala la murstabation kwa miaka kuanzia kumi alie pona kabsa na kuwa mwanaume normal kamili kama wengine na kuweza kupata mtoto anisaidie kunipa hints aliwezaje na ilichukua muda gani kupata tiba ntashukuru sana[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Unapigaje mkuu mpaka Uume uwe mdogo, embu tuelezee kidogo labda ww unapiga labda tofaut maana wengine tunapiga lkn hatujaona hayo mambo

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Unapigaje mkuu mpaka Uume uwe mdogo, embu tuelezee kidogo labda ww unapiga labda tofaut maana wengine tunapiga lkn hatujaona hayo mambo

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Unamuda gani toka uanze kupiga, unaweza zani uume wako mkubwa kumbe hamna kitu mkuu
 
Wee miaka kumi tuu, watu tuna miaka 22 tuna nyetuka tuu kwa raha zetu. Yaani kila demu mkali nilishamgonga🤣🤣🤣🤣🤣
 
Una hofu sana kijana na hilo ndilo tatizo kubwa zaidi kuliko hilo la nyeto. Tatizo lako sio kubwa kiviiile...watu wamepiga nyeto kwa miaka 20 now na ndoa wanamudu vizuri tu. Tuliza kwanza akili na ufanye mazoezi kwa tulivu na mashine itakua imara tu
 
Mi nakushauri kwanza Acha punyeto yani ione kama adui yako, maana ni ina madhara na madhara makubwa ni kutokuwa na hamu na mwanamke kwasababu umeshajiaminisha kuwa unaweza kujitimizia haja yako mwenyew, na wakati ilitakiwa uwe na jinsia nyingine. Jitahidi uweze kuiacha na jiwekee muda hizo NOFAP ni uzushi tu, we mwenyew unaweza kufanya na ukifanikiwa kukaa (mwaka mzima) japo unaweza kuanza na miezi miwili utakaa sawa, ila jitahidi sana usiangalie Muvi ambazo zina SCENE za kunyanduana mkuu utakuwa kila siku unaanza upya, pia mazoezi mengi na kulala kwa masaa 8, na matunda kwa wingi bila kusahau mboga za majani kwa sana.
 
Wee miaka kumi tuu, watu tuna miaka 22 tuna nyetuka tuu kwa raha zetu. Yaani kila demu mkali nilishamgonga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nicheke kwanza shukrani boss
 
Una hofu sana kijana na hilo ndilo tatizo kubwa zaidi kuliko hilo la nyeto. Tatizo lako sio kubwa kiviiile...watu wamepiga nyeto kwa miaka 20 now na ndoa wanamudu vizuri tu. Tuliza kwanza akili na ufanye mazoezi kwa tulivu na mashine itakua imara tu
Mazoezi ya aina gani msaada. Pls
 
Oh sawa boss nashukuru ngoja nianze kazi maana hali sio poa. Wakuu japo sijapata mtu mwenye shuhuda hata ya kunitia moyo aliekutana na hali kama yangu maana naona kuoa ni kama nakukimbia ivi nisije tengeneza aibu
 
Hizo Ni spirit na sio addiction hii kitu ikatae kutoka moyoni , because it can't let you go unless uamue haswa[emoji120]
Dah spirit tena mkuu, nishaikataa kitambo ona sasa shida nyingine nmesikia kwa sisi ambao hatujawai onja radha ya K kabla ya kuanza nyeto inakuwa ngumu kichizi madhara ya kusoma ubozin toka utotoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…