Uraibu wa punyeto/kujichua kwa zaidi ya miaka kumi suluhisho lake nini na uchukua muda gani tiba

Welcome to reality,

Ma-feelings unayopataga kwenye punyeto na kuangalia videos za L hazipogi kwenye real life

Achana nayo hayo mambo yatakugeuza shoga
Kuna roho chafu huwa zinakufuata pale unapopiga punyeto na ndizo zinakupa hofu baada ya tendo Hilo

Achana tamaa, tamaa hutokaa uzimalize , moyo wako urizike
 
Nenda Pale msikiti WA Qibla Tain kariakoo mtaa WA agrey,au mtaa msikiti WA ngazija posta siku ya Ijumaa.. kuna watu wana hizi Tiba dawa zake cheap
 
Asante mkuu
 
Mi nishawahi kujiapiza nikipiga tena nife lakini wapii, nikikaa peke angu ghetto mchana NANYETOKA ,

Naona inahitaji kujichanganya sana, usikae peke ako.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kumbe ili janga ni kubwa sana nlikuwa najiona peke angu, lakini bado najiuliza kwamba nko pele angu tuu nnae ona hayo madhara
 
Tafta vitabu vinavyozungumzia masuala ya uume na nguvu za kiume umo ndani utakuna na matataka mengi sana utakuna na blood,zinc,hormone,penis muscle,mazoezi ya uume,sperm count, fertility,refractory period, sexual stamina,diet,
 
Una hofu sana kijana na hilo ndilo tatizo kubwa zaidi kuliko hilo la nyeto. Tatizo lako sio kubwa kiviiile...watu wamepiga nyeto kwa miaka 20 now na ndoa wanamudu vizuri tu. Tuliza kwanza akili na ufanye mazoezi kwa tulivu na mashine itakua imara tu
HILI NDO SULUHISHO LAKE, AFUATE MANENO HAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…